Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu...neema inakaribia, bagamoyo si inaeza zinduliwa tena,...baso unanung'unika?
 
Kweli kabisaa pikipiki ni nafuu mafuta lita moja kwa 40km haadi 50 yaani kita 2 tu anaenda job town na kurudi kwake mapinga kerege sema sasa huo ujasiri wengi hatuna ila mimi naweza
 
Ubarikiwe, ushauri bora kabisa huu. Mimi nimejenga kibamaba sasa natamani kuhamia kongowe soga maana hapa pamekuwa mjini sasa. Asiuze atakuja kujuta daima.
Hapo kongowe soga ni eneo pontential sana ..nna plot maeneo hayo nasubir watu wajenge jenge kwanza ndo ntaanza na mimi
 
Watu wengi hawana maarifa yakutosha na mikoani, ukiwa na hela yako nzuri Kwenye real estate ni vizuri kuwekeza huko. Mimi binafsi naona kuwa dar imejaa huwezi pata eneo la maana kwa bei nafuu
Ni kweli kabisa
 
Haya ni majuto ya Muda tu, najua baadaye utakuja kujishikuru mwenyewe, watu mnakosa uvumilivu, inaonekana wewe hunashukrani kwa Mungu kama uliweza kujenga nyumba hii, kikweli hupaswi kulalamika mafuta ya 400k otherwise ulikurupuka au hukaa chini ukapiga gharama
 
Mna moyo aisee.
 
Yan una eneo kubwa lakin the way ulivyokenga ukiweka hata banda la kuku hap unahari show nyumba ipo nyuma sana ungeivuta mbele nyuma uweke mamb mengn
 
Kweli kama dom mchana unaweza kulia
 
Hongera
Hongera kwa kujenga!Kila jambo lina faida na hasara zake!Kumbuka kwa kuwa na nyumba kumekuongezea sifa lukuki!Epuka kuangalia upande mmoja tu
 
Hongera

Hongera kwa kujenga!Kila jambo lina faida na hasara zake!Kumbuka kwa kuwa na nyumba kumekuongezea sifa lukuki!Epuka kuangalia upande mmoja tu
Kabisa kabisa.
Asije kuishia kama mimi hapo chini! 😣πŸ˜₯πŸ˜­πŸ˜–
 
Uzi wa kibwege Sana huu.

Umejenga unajilaumu nini Sasa

Kerege ya 21 si ya 25 bana acha urofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…