Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Unalipa kwa awamuViwanja vya bei rahisi[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unalipa kwa awamuViwanja vya bei rahisi[emoji38]
Hongera kwa kujenga itakuja kukuaa hata mbele huko, kama kazi/mishe mjini kati jaribu kupanga maeneo ya karibu yenye bei nafuu ila pawe poa,tena mengi tu. Mafuta na kukesha barabarani utazeeka kabla ya umri wako.Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Nyie ndo mnatubana bana huku Kerege.Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
yupi sasa ? km ttunayemzungumzia mbona post#1 imejieleza, p/se anza mwanzo ndipo utaelewa mtiririkoHujaelewa kumbe... Anaweza kuwa na kiwanja huko lakini sio kukaa huko
post: 33428902 said:Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
jamani tenganisheni UKWELI na UONGOMwezi Ulopita, Baada ya Biashara kuchanganya vizur.
Nmenunua Kiwanja kizur zaidi Ukubwa ule ule pale pale maili 1 kwa 85mil kikiwa na tofali 219 za block
Ila Sijutii, maana kimenunuliwa mda muafaka kabisa kwa ajili ya kukitumia.
Jamaa angu, Biashara zake zimeyumba.
Hana bajeti tena ya kupaendeleza.
Kiwanja chake nakiona bado kipo tu kinaendelea tu kusubiri mteja mwezi wa 3 sasa maana katangaza Anauza 75mil.
Ardhi ni mali Mkuu hata iwe mashambani, wenzetu jirani tu hapo wanaithamini kuliko sisi tunaoona Kerege hapafaiUnajidanganya, maisha ya kuamka saa 10 usiku ili saa moja asubuhi ndio ufike mjini kati huu ni uwendawazimu kwa Tanzania, kuna nchi nimeishi train za umeme ndio usafiri wa kwenda makazini na mtandao wa reli umepita kwenye makazi mengi, ukikaa mbali na mjini hakuna tatizo lakini si kwa Tanzania acha kudanganya wenzanko.
Watu wenye busara akiwa na million 50 ananunuwa nyumba karibu na town unang'arisha then unaenjoy maisha.
Unakaa sehemu hata kuhudhuria harusi huwezi unawaza stress za muda wa kurudi usiku, disco huwezi kwenda haya ni maisha gani sasa?
Hapanavipi kaolewa?? samahani lakini
[emoji23][emoji23][emoji23]Nyumba za NHIF?? Like serious?
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
Wahaya kujisifia tu, hamna kitu pale ptuuu[emoji23][emoji23][emoji16]Akili ya biashara wanaiweza Wachaga. Sasa Mhaya atauza nn na mbwembwe zile?
Tatizo mtu umri ukienda anahisi kudrop vitu vya kumpa starehe ndio kukua eti...wenzetu wazungu wana afya njema muda mwingi sababu wanajua nini maana ya kujipa raha, beach utakuta wazee wa kutosha, club wamoo, ilimradi wanapata furaha...sada bongo ili uonekane umekua ni kujifungia ndani na kuinamisha bichwa chini all the time.Inawezekana wewe umekomaa vigimbi lakini siyo akili,
Nyumba ya million 50 ni Dar na kwa taarifa yako Mimi real estate ndio fani yangu.
Kutoka harusini saa 8 usiku kudrive km 50 huu nao ni zaidi ya uwendawazimu.
Kama umezaliwa kijijini Nyalugusu ni lazimà ushangae swala LA outing, kila MTU na hobby take mwingine disco mwingine live band mwingine matamasha.
Watanzania tunapoteza muda mwingi kizembe sana ....just imagine huyo anaeishi mlandizi na kufanya shughuli zake kkoo ni muda gani anaupoteza akiwa njiani kila siku?Mkuu binafsi si kushauri hiyo nyumba uuze hata kidogo ,bora ww umejenga kerege mimi nimejenga kiromo na nimehamia huko na shughuli zangu zinaenda ,fikiria mtu anaekaa mlandizi anapiga mishe town au anayekaa chalize na kila siku asubuhi yuko town na jioni anageuka ,
Usiuze nyumba mkuu ,utakuja juta usawa huu ,
Hiyo ndio nyumba uliyojenga au ni banda LA uaniWakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.