Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Mkuu shukuru hata umejenga japokuwa ulikuwa hujajipanga, ila naamini ulijipanga ndo maana ukajenga....kuna vijana hata chumba cha kupanga ni utata..
We muache tu maana jicho la MUNGU aliyemuwezesha kujenga anamuona,subiri apokonywe utaona tu kilio chake,watu wanafanya kazi Arusha wanaishi Kilimanjaro kijijini,watu wanafanya kazi Mwanza mjini wanaishi Misungwi na Sengerema yeye analeta urembo kwenye maamuzi sahihi ya MUNGU juu ya maisha yake
 
Unaweza tu mkuu sema maisha ya kuigiza ndo yanatuharibu sana waTanzania

Ukiigiza utataka kumfurahisha mtu baki ndo shida hapo!hujanielewa...kuna kauraibu fulani hv ukishazoea gari..point hapa sio kumuogopa jiran au marafiki watanisamaje!...!walozoea magari walishaelewa
 
Ukiigiza utataka kumfurahisha mtu baki ndo shida hapo!hujanielewa...kuna kauraibu fulani hv ukishazoea gari..point hapa sio kumuogopa jiran au marafiki watanisamaje!...!walozoea magari walishaelewa

Binafsi huwa sioni shida kuacha gari na kupanda daladala, maisha yangu nimejijengea kuwa flexible sana. Hivyo katika hilo inategemea na mind ya mtu.
 
Binafsi huwa sioni shida kuacha gari na kupanda daladala, maisha yangu nimejijengea kuwa flexible sana. Hivyo katika hilo inategemea na mind ya mtu.

Yeah..inategemea na mind ya mtu aisee!na inategemea sehem ulipo..dar coaster zinakimbia fresh unawah fika..mikoa mingine kila nyumba anasimama kusubiria abiria..anashusha popote pale...anaweza akaweka kambi kbs kumsubiria mtu mmoja!unajikuta umetumia zaidi y lisaa kufika mjini!nehi!
 
acha kuchukulia serious sana jf utaugua vidonda vya tumbo.[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom