Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
HongeraYeah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongeraYeah
Haaahaaa[emoji16]nilimstukiaHuyu huwa anafurahisha genge tu japo sometime thread zake zina mantiki. Akiona thread inapoa anapost sentensi moja ya kuvutia Watu wanatiririka. Na ni maarufu wa kufufua thread zilizokufa
agata hapo kwenye avatar ni wewe au ni kama punda wangu tu[emoji16][emoji16].1990-29
1991-28
1992-27
1993-26
Huna uwezo wakunizaa.
Ni kweli kabisa, nakupa heshima yakoAisee kwahio mama yako kazaliwa 70s? Kwahio wewe ni mtoto wa 90s. Haya niamkie Baba yako
Kama kuna mtu anauza kiwanja chake Mapinga kama mmiliki, na serikali ya mtaa inamtambua hivyo, jee unashauri tahadhari gani kwenye hii scenario? Kiwanja kimepimwa na kipo kwenye mchakato wa kupewa title.NJE YA MADA:
MAPINGA, KEREGE, ZINGA, KIROMO, KITOPENI, UKUNI (MAENEO YALIYOPO BARABARA KUU YA DAR - BAGAMOYO)
NI MAENEO AMBAYO YANAONEKANA KEKI SANA KWA MTU KUMILIKI ARDHI,
NA
HIVYO WATU WENGI KUTOKA DAR ES SALAAM NA MAENEO MENGINE KUMIMINIKA BAGAMOYO KWA WINGI KWENDA KUNUNUA ARDHI (VIWANJA & MASHAMBA).
NOTION HIYO IMEIBUA WIMBI KUBWA LA MATAPELI (WANAOJIITA/KUJIFANYA MADALALI) NA KUPELEKEA WATU WENGI KUTAPELIWA NA MADALALI HUKO,
AMA KWA KUUZIWA MAENEO YASIYOWAHUSU AU KUWAUZIA MAENEO YENYE MIGOGORO,
YAANI UNAKUTA ENEO MOJA WAMEUZIWA WATU 6 TOFAUTI,
NA WOTE WANAZO NYARAKA-
SASA HAPO ZINAANZA KESI MAHAKAMANI SASA-
THE STRONGEST DO SURVIVE,
THE WEAKEST END UP TO PERISH.
UNAPOENDA KUNUNUA ARDHI BAGAMOYO,
KUWA MAKINI SANA-
SANA NA SANA, NA TENA ZAIDI YA SANA!!!
WEKA AKILI YAKO MBELE, KISHA PESA NYUMA,
NA SIO PESA YAKO MBELE, KISHA AKILI NYUMA.
(Kama umemaindi herufi kubwa, unaweza sema nikupe mwongozo).
Ulinunua kiwanja 1969? Well well...Mkuu vumilia zamani hata Kimara palikuwa shamba na mbali na mji.Tulikuwa tunapishana na viboko na nguruwe.
Usiuze hiyo nyumba utajuta baadae cha kufanya tafuta chumba panga karibu na kazini kwako.Hiyo nyumba ya Kerege tafuta mwenyeji mswahili wa huko muache akae hata bure akulindie mji.
Mimi sijuti kununua viwanja Kimara mwaka 1969 sasa hivi mimi ni kamfalme kadogo
Maendeleo ya majengo na miundo mbinu yanamfuata mtu sio kinyume chake
Binafsi naweza, kijana wa late 90s ni first born wangu kabisa...Wewe unaweza kumzaa kijana wa 90s?
Kaka usijute wala nini, yakupita tu, wenzako tupo BunjuB, tulishavamiwa tukagongwa sana sana, ila tumejaa tumejipanga na ulinzi shirikishi na nini sasa tupo kama oysterbay...Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Bado sijaweka ukuta, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1259979
Poa. But in the mean time wacha nijibanze kwanza kinondoniKaka usijute wala nini, yakupita tu, wenzako tupo BunjuB, tulishavamiwa tukagongwa sana sana, ila tumejaa tumejipanga na ulinzi shirikishi na nini sasa tupo kama oysterbay...
Mafuta ni nini kama unakaa kwako?!
Achana na Sinza, yale ni maisha ya ujana tu kaka...
Jipangeni mtaani, umoja ni nguvu amini usiamini...
Binafsi naweza, kijana wa late 90s ni first born wangu kabisa...
Sasa utabisha Mane, kabishiii[emoji39] mtoto aliyezaliwa '98 au '99 namzaa tena vizuri kabisa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eli bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa utabisha Mane, kabishiii[emoji39] mtoto aliyezaliwa '98 au '99 namzaa tena vizuri kabisa.
Mane kwani kila mtu anafika chuo? Wengine wanamaliza la saba wanaoaSisi hatusemi ule umri wa balehe...namanisha umri ule umemaliza chuo unaweza oa! Sio utoke form 4 uoe![emoji39][emoji39][emoji39]
Kwani umri wa kuoa kidume ni upi! Mane bhana, hata wewe nakuzaa ukikaa vibaya [emoji39][emoji39][emoji39]Sisi hatusemi ule umri wa balehe...namanisha umri ule umemaliza chuo unaweza oa! Sio utoke form 4 uoe![emoji39][emoji39][emoji39]
Mwambie, tena kama ningeishia la saba ningekuwa na watoto wapo chuo na wengine washaolewa na kuoa. Hizi formal education system zimeharibu mfumo wa maisha ya mwafrika.Mane kwani kila mtu anafika chuo? Wengine wanamaliza la saba wanaoa
Kwani umri wa kuoa kidume ni upi! Mane bhana, hata wewe nakuzaa ukikaa vibaya [emoji39][emoji39][emoji39]
Mane kwani kila mtu anafika chuo? Wengine wanamaliza la saba wanaoa
Unavyopenda kujimwambafai[emoji3]Mwambie, tena kama ningeishia la saba ningekuwa na watoto wapo chuo na wengine washaolewa na kuoa. Hizi formal education system zimeharibu mfumo wa maisha ya mwafrika.