Najuta kuhamia kwangu Kerege

Najuta kuhamia kwangu Kerege

Pale Centre full uswazi. Kuna jamaa wa bodaboda alidai eti Kama nataka mademu wazuri wa kisomali twende pongwe (toka Tanga Mjini). Tumefika pale ujinga-ujinga tu
Pale center hakuna pale pamejaa kiswazi

Wenye hela zao wanajenga mbele kule
 
Wakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).

Kutokana na sasa hela kuwa ngumu nimeweka ukuta mfupi, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba kupitia kwa madalali na Zoom haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.

Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.
View attachment 1334943
Hii ndo nyumba yenyewe ?
 
Tunauza mbao kwa bei ya jumla.Njoo ofisini kwetu TEGETA tukuhudumie kwa gharama nafuu sana:-
2*2 fut12=2500
2*2 fut12(treated) ya dawa=2800
2*2 fut18(treated) ya dawa=5000
2*4 fut12 treated(ya dawa)=5000
2*4 fut12 isiyo ya dawa=4500
1*6 fut12=4500
1*8 fut12=8000
1*8fut12 ya fisher board(treated)=9500
1*10 fut12=13000
1*10fut 18 fisher board( treated)=15500
2*4 fut18(treated)=9500
2*6 fut12=8000
1*4 fut12=2800
2*6 fut 18=19000
Tunapatikana muda wote kwa namba za simu zifuatazo:-
----0759630751
----0687371138
----0654830416

vile vile kuna huduma ya kuchana,kuranda na kusize mbao inapatikana ofisini kwetu
 
Yaani ukishazoea gari jamani kurudi kwenye daladala inabid wito haswa!
Mie mbona napiga mix sana tu. Itune akili yako tu. Mie kuna siku napanda public na baadhi ya siku natoka na baby walker yangu. Inasaidia sana kumix.

Maana mie home kazini natumia wese la 15,000/= (kwa wiki ni 75,000/=) but nikibalance na public nasave sana tu tu; ile rush hour nakula vichwa kwa buku mbili mbili (naingiza 12000 to and fro).

if you can tafuta vichwa vya kudumu (hasa wale wasiopenda bugudha za public transport) then utasave kidogo.
 
Mie mbona napiga mix sana tu. Itune akili yako tu. Mie kuna siku napanda public na baadhi ya siku natoka na baby walker yangu. Inasaidia sana kumix. Maana mie home kazini natumia wese la 15,000/= (kwa wiki ni 75,000/=) but nikibalance na public nasave sana tu tu; ile rush hour nakula vichwa kwa buku mbili mbili (naingiza 12000 to and fro).
if you can tafuta vichwa vya kudumu (hasa wale wasiopenda bugudha za public transport) then utasave kidogo.
Inawezekana boss....sema kuna kauraibu tu...
 
Back
Top Bottom