Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 248
Inawezekana boss....sema kuna kauraibu tu...
Kuelekea Mbagala au Gombs, 2,000 na babywalker unapunguza sana gharama za wese
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana boss....sema kuna kauraibu tu...
Hujaweka zile kero za kusimama muda mrefu..bora niweke wese la 30k aiseKuelekea Mbagala au Gombs, 2,000 na babywalker unapunguza sana gharama za wese
hahaha aachane na GARI anunue CHOMBO CHA USAFIRI, hahaha nimekuelewaUtakuwa una miliki gari
Nunua chombo cha usafiri hauta juta mafuta na hutajuta kukaa kwako
iyo bandari itakuja jengwa kweli, nimejenga hapo mapinga, Kodi nnayolipwa hata hailidhishi japo nyumba ni nzuri,,.iyo ishu ya bandari ndiyo ilinifanya nijenge uko miaka ile ya mkwereBandari ya Bagamoyo mkombozi wa wana-Kerege!
MmhKaribuni kitimoto Kerege
Sarama LekoPongwe kwa Wachawi?
Sema parapanda!!!Labda bajaj.. pikipiki daily, hatachelewa kuvishwa P.O.P
Kerege mmekumbukwa na Bandari ya BagamoyoWakuu enzi za Neema za Mkwere nilijenga maeneo ya Kerege sasa mambo yalipobana kodi ikanishinda Sinza nikahamia kwangu Kerege asee najuta maana hizo gharama za mafuta zinazidi kodi ya nyumba Sinza (400,000/=).
Kutokana na sasa hela kuwa ngumu nimeweka ukuta mfupi, vibaka kila mara wanavamia nikiwa kazini mjini nimejaribu kuuza nyumba kupitia kwa madalali na Zoom haiuziki wanunuzi wengi wanadai huku uswahilini sana.
Funzo: Vijana msikimbilie kujenga kama hamjajipanga.