Najuta kuilinda na kuisaidia CCM ishinde, sasa navuna majuto

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
 
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
 
Ni hivi, hata wale waliouzwa utumwani baada ya kukubali kufungwa minyororo ma bwana wakubwa walijiona wana haki zote kuhusu maisha yao. Midhali walidhurumu ushindi kimabavu sasa hivi wanajiona wana haki zote juu ya maisha ya Watanzania.
 
Ulijidanganya sana na hauko peke yako utakayejuta. Watajuta wengi na tayari wameshaanza. Bado maDSO waliotumika kuingiza kura feki, bado maDC waliokuwa waratibu wa uporaji haki, Bado baadhi ya maOCD walioongoza kupiga mabomu ili maDSO wapate mwanya wa kuingiza kura. Bado maafisa Uchaguzi, Bado maafisa wa Tume, Bado Wasimamizi wa vituo, Bado, Bado, Bado wengi.
 
Alisikika nani? Mkuu unaibuka, unataka watu wajadili mawenge yako ya kichwa!!
 
Ubovu wa ccm usiwe ndio mwanya wa watendaji kuharibu kazi.

Kuisaidia ccm ishinde hakuhalalishi utendaji mbovu na uzembe...kama hukidhi viwango basi, vuna ulichopanda.
 
Hata usingefanya hivyo ingeshinda tu, sema kama uli ilinda ili utumie rasilimali za nchi kihalifu, nyie ndo mnapaswa kunyongwa maana mnaiibia nchi mpaka mnajihisi mnaimiliki nchi nyie
 
Ulijidanganya sana na hauko peke yako utakayejuta. Watajuta wengi na tayari wameshaanza. Bado maDSO waliotumika kuingiza kura feki, bado maDC waliokuwa waratibu wa uporaji haki, Bado baadhi ya maOCD walioongoza kupiga mabomu ili maDSO wapate mwanya wa kuingiza kura. Bado maafisa Uchaguzi, Bado maafisa wa Tume, Bado Wasimamizi wa vituo, Bado, Bado, Bado wengi.
Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
 
"tuondoe tu ukomo wa Urais, Atawale hadi atapochoka mwenyewe"

Walisikika wapigania chama cha chanikiwiti wakati wa kampeni
 
Ushurunw
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Malipo ya dhuluma ni dhuluma
 
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? ccm inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Kwani siku hizi Chadema bado ipo?
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Kama hifadhi kazi na kutekeleza wajibu tupishe hafai. ..Ukitaka ya sikukute si u chape kazi..tatizo nini...watanzania wanataka kutekelezewa ahadi sio kukaa kubembelezana
 
Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
Hivi wakurugenzi wanaonunua magari ya kifahari ni Chadema?
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Na mtajuta mmoja baada ya mwingine, kima wakubwa nyie.

Wabunge Wanapishana Majukwaani Kutaka Vijana Wajiajiri Hali yakua, Bunge Hili Hilo Lilipitisha Malipo Ya
1. YouTube-1,100,000
2. Blog-1,100,000
3. Mafunzo Ya Drone-1,980,000

Hivi kweli Mna dhamira Ya Kutaka Vijana Wajiajiri au madish huwa yakiyumba mnaropoka chochote.
Hivi Kijana Wa Kitanzania mwanaccm aliyekosa kibarua cha kujibu hoja za wapinzani anatoa Wapi Hizi Fedha?
Busara na majivuno havikai nyumba moja.
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Mkuu rudisha tu v 8 la serikali,, hukufata taratibu za manunuzi,,

Sasa hakuna namna..
 
Ulijidanganya sana na hauko peke yako utakayejuta. Watajuta wengi na tayari wameshaanza. Bado maDSO waliotumika kuingiza kura feki, bado maDC waliokuwa waratibu wa uporaji haki, Bado baadhi ya maOCD walioongoza kupiga mabomu ili maDSO wapate mwanya wa kuingiza kura. Bado maafisa Uchaguzi, Bado maafisa wa Tume, Bado Wasimamizi wa vituo, Bado, Bado, Bado wengi.
Magu akiwagusa maDSO atakuwa anataka kujilipua maana hao ndio wanamuweka mjini
 
Back
Top Bottom