Najuta kuilinda na kuisaidia CCM ishinde, sasa navuna majuto

Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? ccm inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Rudia kusoma kwa umakini ndugu labda utaelewa
 
Hata kama ni mimi nakutimua kazi, kama unaweza kuiba kwa ajili yangu ili maslahi yako yatimie ni nini kitakufanya usiniibie mimi na hata kunigeuka kwa ajili ya maslahi yako hapo baadae?

Nakutumia kama toilet paper, kisha naku flush mazima, nisikuone kabisa
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Acha Uchochezi, Wananchi ndiyo wameichagua CCM na CCM inafanya kazi kwa niaba ya Wananchi,Kama kuna Wazembe huko ma officini wacha wawajibishwe!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huu mwaka hakuna raha...hatufanyi kazi za kulipa fadhila...
 
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? ccm inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Soma uelewe kwanza ndipo ujibu, ndio nyie mnaosoma kichwa cha muhtasali na kusaini bila kujua ndani inasemaje
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Kweli JF imevamiwa siku hizi!
 
CCM wengi ndio WEZI wakubwa kule Zanzibar ndio hatari zaidi kwa kuwa wanatabia ya kulindana.
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Huipiganii CCM ili ije ikulipe Fadhila kwa Juhudi zako, ila unaipigania CCM ili ije ilete Maendeleo Chanya kwa Watanzania wote na Nchi ipige hatua.
 
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.

We kilaza soma uelewe mada.
 
"tuondoe tu ukomo wa Urais, Atawale hadi atapochoka mwenyewe"

Walisikika wapigania chama cha chanikiwiti wakati wa kampeni
Hakuna haja ya kuondoa ukomo wa Urais, tayari amekwisha choka hoi bini taabani ndo maana alihitaji kubebwa kwa mbeleko kuingia madarakani hata safari hii wala push-up hakuweza kufanya. Karibuni Mungu atampenda zaidi maana ni mpenzi wa Mungu aliye hai!
 
Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
Hata wewe huna amani, ongea yako tu inakushuhudia. Pole sana kwa hatia.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Soma tena. Inaonekana hujaelewa. Yeye ni reporter wa mtu mwingine, siyo yeye anayetamka maneno hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom