Najuta kuilinda na kuisaidia CCM ishinde, sasa navuna majuto

Najuta kuilinda na kuisaidia CCM ishinde, sasa navuna majuto

WANA CCM TUNAISHI NAO MITAANI.WENGI NI CHOKA MBAYA! Wakiomba hata 500 huwaambia wakaombe kwa bashiru,ajabu hata hawamjui. Nini tatizo? UMBUMBUMBU!
Wana ccm wawapi badala yakusema nyie makamanda uchwara mliogaragazwa kwenye uchaguzi hali zenu nimbayaa hapo ufipani maana mlizoea kuvuta m 12 kila mwezi. Kwa saasa mnaweweseka. Halafu unasingizia sisi wana ccm chama dume? Wasa ccm wote tunaamaniii, maaana badotunashangiria ushindi mnono tuliopaata
 
Kwel ww n nguchiro na zumbukuku
Wana ccm wawapi badala yakusema nyie makamanda uchwara mliogaragazwa kwenye uchaguzi hali zenu nimbayaa hapo ufipani maana mlizoea kuvuta m 12 kila mwezi. Kwa saasa mnaweweseka. Halafu unasingizia sisi wana ccm chama dume? Wasa ccm wote tunaamaniii, maaana badotunashangiria ushindi mnono tuliopaata
 
Hata kama sii kwenu,wote tunawajibiba kwa upumbavu wa wachache.
Usijumuishe watu kwenye kujuta kwako , si wote wanaolalamika Kama wewe,jitamke wewe Kama wewe na bilashaka wewe ulikuwa unaishi kwa ujanja ujanja wakati wa tawala za miaka ya nyuma,imekula kwako,fanya kazi acha kulalamika ,nchi inakwenda
 
Kama hayo yote mngeyajua kama nikweli, kwanini mlikubali kuingia kwenyekinyanganyiro cha uchaguziii? Achenikubwabwajaa tuuuu. Tutawagaragaza tena 2025. Wembe niuleuleee
Tena tutawaangamiza kifo Cha Mende ili iwe furaha kwa Nyenyere(Sisimizi)
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Mwambie akome na ataisoma namba zaidi ya hapo ,Mwambie serikali ya CCM inayoongozwa na Rais JPM haiilindi wezi,wabadhirifu,wavivu wala wachumia tumbo Kama alifanya makosa akitegemea kulindwa imekula kwake
 
Wana ccm wawapi badala yakusema nyie makamanda uchwara mliogaragazwa kwenye uchaguzi hali zenu nimbayaa hapo ufipani maana mlizoea kuvuta m 12 kila mwezi. Kwa saasa mnaweweseka. Halafu unasingizia sisi wana ccm chama dume? Wasa ccm wote tunaamaniii, maaana badotunashangiria ushindi mnono tuliopaata
Wote tupo hapa bongo,tunafahamiana.Kama unawafahamu wana CDM wa aina hiyo sawa ila namba zinasomeka pande zote.Wengine ndo hao wamepewa siku 7! Sijui nao ni wana CDM????!!!!!
 
Wote tupo hapa bongo,tunafahamiana.Kama unawafahamu wana CDM wa aina hiyo sawa ila namba zinasomeka pande zote.Wengine ndo hao wamepewa siku 7! Sijui nao ni wana CDM????!!!!!
Namba mlizisoma hapo ufipaniii kwa kugaragazwa kichapo cha umbwa koko. Wana ccm kwetu nishangweeee.
 
Muda utafika tu lugha utabadili bila shuruti.Wenzio wengi walikuwa wabishi kama wewe ila sasa wameanza kugutuka japo wamechelewa.
 
Muda utafika tu lugha utabadili bila shuruti.Wenzio wengi walikuwa wabishi kama wewe ila sasa wameanza kugutuka japo wamechelewa.
Hujatengeneza kiki ya kutishiwa ili nawewe utimukie CANADA kukwepa aibu ya kugaragazwaa???
 
Na sio tunaisoma namba hata model,tunawasii sana mlioko juu tupeni maonyo japo balua ya onyo mkitupa hazalani itatosha,tutajiunga na mwendo kasi ,ila huku kusimamishwa na kutufukuza kama hatukuwa na msaada wa hakli na mali tena wa juu kusaidia ushindi,kumbukeni mambo kangaja.
Kweli majuto ni mjukuu sasa hii damu ya kijani nitaibadilishaje nyumbani mapicha ya chama nimeweka kwa supaguluu.,wale tumewatoa kama sasa wameanza zomea zomea.
 
Back
Top Bottom