Najuta kuilinda na kuisaidia CCM ishinde, sasa navuna majuto

Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Mwambie ATULIE dawa imuingie vizuri
 
Premature green imbecile , tumeccm ,policcm , tissccm , mahakamaccm vinasaidia chama gani ? Tumia hata akili ya ng'ombe kuutikisa mkia na sio mkia kumtikisa ng'ombe .
Sasa Kama mnajua hayo yote kwa Nini mnashiriki Uchaguzi,au njaa ya Ruzuku inawasumbua!? Achaneni na Mambo yakugombania Ruzuku daini Katiba mpya kwanza!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wakifanya madhambi waachwe, wakihujumu mali za umma waachwe, - hapo ndipo CDM mnapaswa kujifunza.
 
Wakati tunasema humu JF mpaka tunalia kwamba ccm ovyo mnatubeza ,ona sasa unavyolia kama kichanga kilichonyimwa nyonyo na mamaye
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Sijali kama Mondi asivyo mjali babake, pili chama tawala akikushinda kwa kura ya mtu, hivyo usijidanganye!
 
Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? CCM inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
@Kiongozi mkuu2020 halafu hujui hata kusoma kwa utulivu na kuelewa!!!
Wewe yapaswa uitwe kilaza mkuu 2020.
 
Kila kushindwa kuna sababu;:

2005, tulishindwa tukiwa na tukatafuta sababu.

2010 tulishindwa tuliitafuta na tukapata sababu.

2015 tulishindwa, hatuku acha tukatafuta na tukapata sababu.

2020 tumeshindwa, tunalazimisha kutengeneza sababu, Lazima ifike mwisho.

MKOA WA KILIMANJARO WAPIGA KURA WALIKWISHA AMUA KUIPIGIA CCM, NA KAMA INGEKUWA WIZI UTULIVU ULIOPO KILIMANJARO MNAO UONA USINGE KUWEPO HIVI. HAPA MITANDAONI KUSINGE TOSHA , LAKINI KIMYA.
 
Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.

Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.

Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Bandiko hili inatufundisha kwamba unapotumia nguvu nyingi hivi ukitafuta sababu za kushindwa ni wazi kabisa umejihakikishia kushindwa na hutokaa ushinde
 
Mawaziri hakikisheni mnapoona UBOVU fukuzeni.msilee MAOVU miss wamewasaidia kuingia BUNGENI.
Fanyeni kazi zenu
 
Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
WANA CCM TUNAISHI NAO MITAANI.WENGI NI CHOKA MBAYA! Wakiomba hata 500 huwaambia wakaombe kwa bashiru,ajabu hata hawamjui. Nini tatizo? UMBUMBUMBU!
 
Back
Top Bottom