Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.Ulijidanganya sana na hauko peke yako utakayejuta. Watajuta wengi na tayari wameshaanza. Bado maDSO waliotumika kuingiza kura feki, bado maDC waliokuwa waratibu wa uporaji haki, Bado baadhi ya maOCD walioongoza kupiga mabomu ili maDSO wapate mwanya wa kuingiza kura. Bado maafisa Uchaguzi, Bado maafisa wa Tume, Bado Wasimamizi wa vituo, Bado, Bado, Bado wengi.
Malipo ya dhuluma ni dhulumaNi sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Kwani siku hizi Chadema bado ipo?Tangu lini wewe mwanachadema wa ufipa ukasaidia ushindi wa chama dume CCM? ccm inajipigania yenyeweee bila ata msaada wa awaye yeyote. Wewe nenda ukasaidie chama chako tuone kama utapata ata diwani wa dawa.
Kama hifadhi kazi na kutekeleza wajibu tupishe hafai. ..Ukitaka ya sikukute si u chape kazi..tatizo nini...watanzania wanataka kutekelezewa ahadi sio kukaa kubembelezanaNi sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Hivi wakurugenzi wanaonunua magari ya kifahari ni Chadema?Wanaojuta ni wanaufipa wa chadema waliogaragazwa kwa kipigo cha umbwa mwiziiii. Sisi wana CCM kindaki ndaki, bado tunajivunia ushindi mnono tulioupata. Tunajiandaaa kuwagaragaza vibaya zaidi hapo 2025. Sisi CCM tunayoamaniii saaaanaaa na shangweee kubwaaa juuuu ya ushindi tulioupata. Wapinzani ndo mnaweweseka kila siku.
Na mtajuta mmoja baada ya mwingine, kima wakubwa nyie.Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Mkuu rudisha tu v 8 la serikali,, hukufata taratibu za manunuzi,,Ni sauti ya jamaa alietimuliwa kazi katika sera ambayo CCM walio serikalini wameivalia njuga, maana huonekani kiongozi mpenda maendeleo kama hujasimamisha na hatimae kuwafukuza kazi walio chini yako. Tanzania sasa inaingia katika wakati mwengine mgumu sana ni wakati wa majungu na kufukuwa makaburi.
Tayari wapenzi wengi wa CCM waliomo ndani ya vyombo vya serikali wameanza kuuma na kusaga meno, maana wengine wameshatimuliwa na wengi wapo njiani. Viongozi wakuu serikalini wanafukuza watu makazini na kuwasababishia majuto na mawazo, hio ndio CCM haitabiriki hata uipende vipi.
CCM oyee.
Kwa mlio makazini hasa wakurugenzi mmekalia kuti kavu, fukuza fukuza imeanza kama ni corona sasa imebadili jina ina kasi ya ajabu. Najuta kuichagua na kuzitoa kura zangu ili tushinde mbona wanatugeuka, alisikika mkuu mmoja wa operesheni ya ushindi wa CCM aliepigwa na chini.
Magu akiwagusa maDSO atakuwa anataka kujilipua maana hao ndio wanamuweka mjiniUlijidanganya sana na hauko peke yako utakayejuta. Watajuta wengi na tayari wameshaanza. Bado maDSO waliotumika kuingiza kura feki, bado maDC waliokuwa waratibu wa uporaji haki, Bado baadhi ya maOCD walioongoza kupiga mabomu ili maDSO wapate mwanya wa kuingiza kura. Bado maafisa Uchaguzi, Bado maafisa wa Tume, Bado Wasimamizi wa vituo, Bado, Bado, Bado wengi.