ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bwana mdogo everything comes at a cost. Omba Mungu akuepushe na majuto ww bado ni mdogo ungeweza kupambana tu na maisha kivyako.
You have a very low thinking. Hapa umetoa mpaka address ya boss wako. Kibarua kitaota sasa. Hili taifa lina vijana wengi wajinga na wazembe sana. Kama hatua hazitachukuliwa kwenye malezi na elimu yetu then tutakuwa tunatenganeza wajinga wengi sana kama huyu. Sishangai kufanya kazi unayoifanya.
Sawa mkuu,nimeonaUongo unanitesa, je nifanyeje niepuke aibu hii?
Nimekuwa muongo sana tangu nikiwa mvulana. Sasa nimekuwa baba mtu mzima ila bado nadanganya hata vitu visivyo na maana najikuta nimedanganya. Nifanyeje ili niishinde kadhia hii maaana nina aibika na kuumbuka na kudanganya huku najikuta tu tayari nimesha danganya.www.jamiiforums.com
Kwani kujitoa sh ngap?Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Boss wa nadharia.You have a very low thinking. Hapa umetoa mpaka address ya boss wako. Kibarua kitaota sasa. Hili taifa lina vijana wengi wajinga na wazembe sana. Kama hatua hazitachukuliwa kwenye malezi na elimu yetu then tutakuwa tunatenganeza wajinga wengi sana kama huyu. Sishangai kufanya kazi unayoifanya.
Sasa ni muda wa kubalance kwa kujirahisisha kwa JIBABA LA BENKI KUUNina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.
Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.
Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.
Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Siku hizi sio watoto wa kike tuu wanalelewa na wazee; wa kiume wanakaribia kushika nafasi ya juu
Mungu akiokoe kizazi chetu
DuhSasa ni muda wa kubalance kwa kujirahisisha kwa JIBABA LA BENKI KUU
Kazi hamna sistangu, elimu tunayo, ila hatuna mitaji tuSiku hizi sio watoto wa kike tuu wanalelewa na wazee; wa kiume wanakaribia kushika nafasi ya juu
Mungu akiokoe kizazi chetu