Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Najuta kumiliki Harrier 2990cc (Petrol)

Mkuu mwachie mjomba wako utapata thawabu, janga hilo jshalichuma utakula na wa mwenu
 
Hamna anunue kadogo
ndo hako ka alto katamfaa kiwese cha bodaboda...wabongo wengi wananunua magari wasiyoweza kuyahudumia matokeo yake watoto nyumbani badala ya kula lishe kamili wanakula UGALI MAHARAGWE daily huku baba akinunua malita ya petroli ambayo hana uwezo
1.jpg
 
HYO GARI ITAKUWA NA SHIDA.
MIMI NINAYO NIMEINUNUA LAST YEAR MWEZI WA 6. REG DWE.
ULAJI WA MAFUTA NI WA KAWAIDA TU.
MJINI LITA MOJA KWA KM 9 NA SAFARINI LITA 1 KWA KM 12.5 MBAKA 13.

UKITAKA KUIELEWA GARI YAKO ITUNZE VIZURI IFANYIE SERVICE YA KUTOSHA.
NJOO MOROGORO MJINI HAPA NIKUPE UFANYE TEST KAMA NAKUDANGANYA NARUDISHA FEDHA YAKO.
LITA 46(FULL TANK) NATOKA MORO NAENDA DAR NAZURURA SIKU 5 NDIO NAJAZA TENA MAFUTA KURUDI MOROGORO.
FULSA.
MWENYE CASH ANITAFUTE NIMUUZIE. AU MWENYE GARI YA WATU 7 MBAKA 10 AJE TUFANYE EXCHANGE NATAKA KUINGIA KWA BIASHARA YA USAFIRISHAJI SAIZI.View attachment 2167605View attachment 2167606
Lita 46 Dar mpaka Moroo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shwetaniiii kabisaaaa.
 
Toka Posta mpaka Mlandizi ni km 40+

Manake lita 10 za gari yako zingetosha kufika kama ingekuwa inakula 1l/4km.

Toka kimara mpaka kkoo ni kama 20km. Manake kwa lita 10 zako inatumia 1l/2km?

Kwamba VXR yenye 5.7l inakula mafuta vizuri kuliko harrier yako yenye 3l?

Something must be wrong, unless unakuza mambo.
Siyo kweli
 
Back
Top Bottom