Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Najuta kumkaribisha demu wangu JF

kama unampenda mwambie ukweli maana yawezekana hakuzoea kutingozwa na watu ovyo sasa anajisahau na kujihisi mzuri kumbe kawaida tuu...mwizi akikamatwa huwa anaacha wizi au anaiba kwa umakini...
hata hivyo umemfuatilia sana jamni...mpka fake ID???????
 
Si ushasema ni demu tu sasa kama unataka kujua yaliyomo weka appointment na akija jidai we kama vile umepita hapo kumcheki mshikaji wako one time then muulize anafanya nini hapo!!!????

Usikae sana muage timka yeye akiwepo uone reaction yake then mtumie text kuwa arudi home as umekamilisha zoezi lako!!!!!!!

Halafu fanya yauridhishayo moyo wako sababu ukweli utakuwa nao!!!!!!!

Ushauri mzuri!! Kazi kwake
 
Inshallah mungu aniepushie, lakini kama ukweli ushaujua chakukufanya ukazimia kipi? shukuru umeshajua ukweli sasa akili kichwani mwako kama kuendelea nae na huku ukijua wako wenzio au jipange upya..Samahani ikiwa nimekukwaza nika nia safi tuu nimeongea..

Niongezee hapo promiseme; kama yeye anakaribua kukubaliwa kupewa kitu, je, ni wangapi wameisha pewa mzigo? Huyo afai jeki!!
 
Niongezee hapo promiseme; kama yeye anakaribua kukubaliwa kupewa kitu, je, ni wangapi wameisha pewa mzigo? Huyo afai jeki!!

ni kweli mkuu, hapa ni kufanya maamuzi tu hata bila kumwambia kitu.
 
kama unampenda mwambie ukweli maana yawezekana hakuzoea kutingozwa na watu ovyo sasa anajisahau na kujihisi mzuri kumbe kawaida tuu...mwizi akikamatwa huwa anaacha wizi au anaiba kwa umakini...
hata hivyo umemfuatilia sana jamni...mpka fake ID???????

asante kwa ushauri, nimemfatilia ili nifanye maamuzi sahihi, ulitaka nibahatishe?
 
ni kweli mkuu, hapa ni kufanya maamuzi tu hata bila kumwambia kitu.

Hapo alipo kaisha soma hii post, hivyo we anza na mpango wa side B, ukikamilisha piga A chini
 
Back
Top Bottom