Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Najuta kumkaribisha demu wangu JF

Nimeambiwa kuwa umekidhi vigezo

sio kweli nilipata sup mtihani ule,alafu kumbe kuna ufedhuli mwengine unaendeleaga nyuma ya pazia kwenye pm mimi sina hata habari shahidi yangu moderator wa pm Mentor
 
Last edited by a moderator:
Si ushasema ni demu tu sasa kama unataka kujua yaliyomo weka appointment na akija jidai we kama vile umepita hapo kumcheki mshikaji wako one time then muulize anafanya nini hapo!!!????

Usikae sana muage timka yeye akiwepo uone reaction yake then mtumie text kuwa arudi home as umekamilisha zoezi lako!!!!!!!

Halafu fanya yauridhishayo moyo wako sababu ukweli utakuwa nao!!!!!!!

Mhhhhhh una moyo mgumu wewe!!!
 
Demu wangu hakuwa hata anajua kama duniani kuna jukwaa la JF,

Nikamshawishi ajiunge na akajiunga, tokea ajiunge wanajukwaa wengi wa kiume wamekuwa wakimsumbua sana kwa pm, wakipiga mistari,

Wengine wamefikia hatua hadi ya kumtumia namba za simu, nikitembelea profile yake nakuta vistors kibao wa kiume.

Kama mnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa, ninahofu anaweza nipotea kwa mtindo huu, kinachonitisha zaidi niliamua kutengeneza ID asiyoijua nami nikaanza kumtongoza, kanitumia namba yake na ninachat naye sana na ameshaonesha dalili zote za kunikubali, mtihani ni kuonana naye, naogopa kuweka appointment halafu kweli atokee, nitazimia.
kuchapiwa ni siri ya ndani wewe si mjanja wa jf..
 
Back
Top Bottom