Ladymasa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 877
- 335
etieee, ngoja niwaite dada zangu akina charminglady, Ladymasa , Passion Lady, sweetlady na ladyfurahia wafanye hiyo kazi.
Ndo nipo naifanya hiyo kazi pacha usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
etieee, ngoja niwaite dada zangu akina charminglady, Ladymasa , Passion Lady, sweetlady na ladyfurahia wafanye hiyo kazi.
we sikuozeshi mwanangu hata kwa dawa
ha haaa, mdogo wangu huo sio umbea, ni stori tu.Na mie natamanije kucheka lol........dada angu kwa umbea siku wakikusuta usisahau kuniambia nije
nikusaidie LOLZ
uwiiiiiiiiiii dada nilikupa sababu jana ya kutopatikana kule, ila nimerudi, hebu lete mupya nifeeeeee kucheka!wewe binti upo? Naona chat zangu hazijapata jibu. Halafu nina stori mupya.......... Utacheeeekaaaa mpaka mbavu zitafungwa na pop
ha haaa, hiyo ni ndeefuuuuu, itanoga face to face my dear, maana hata kwa simu naona haitanoga sana.......uwiiiiiiiiiii dada nilikupa sababu jana ya kutopatikana kule, ila nimerudi, hebu lete mupya nifeeeeee kucheka!
etieee, ngoja niwaite dada zangu akina charminglady, Ladymasa , Passion Lady, sweetlady na ladyfurahia wafanye hiyo kazi.
umeniita cousin kuna nini tena hapa kinaendelea?