Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Kuna shida sana katika vijana wa kisasa wengi hawana mioyo migumu kama ile yetu ya kizamani.
Si aghlabu kila kazi skuhizi wanawake wanazichukua, wamekua wana udhubutu na kiu kuliko wanaume.
Inasikitisha sana.
 
Mtu ana leta sababu zisizo na mashiko kabisa.
👉Eti Sina bundle 😀
 
Mtoe huyo kijana X uniweke Mimi hapo😂😂😂Hana shida na KAZI huyo
 
Achana naye huyo Job Seeker anazingua huyo. Na hizo sababu alizozitoa zote hazina mashiko. Siku zote Mtu mwenye nia huwa hashindwi kujaribu hata kama vigezo Hana.
 
Bro waache wafu wazike wafu wao
 
Achana naye huyo Job Seeker anazingua huyo. Na hizo sababu alizozitoa zote hazina mashiko. Siku zote Mtu mwenye nia huwa hashindwi kujaribu hata kama vigezo Hana.
Yah, nime kata njia zote za mazungumzo, baina yetu na yeye.
👉Na Wala Sina kinyongo nae, ila ajifunze ustaarabu huko aendako.
 
Nianze na majukwaa ya mpira hususani kwa nyuzi za Simba na Yanga nitapata pa kuanzia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Nitakayemsuspect ndio namchunguza anapenda sherehe au
Nime kwambia Hiyo code ngumu😁, Kama password ya bot😂😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…