Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Kwakweli muache tu na maisha yakeNgoja ni Mwache aendelee kuwa sifia kina chama na feisali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli muache tu na maisha yakeNgoja ni Mwache aendelee kuwa sifia kina chama na feisali
Yani huyo dogo ni wa fungu lakukosa mwache asote akili itamkaa sawa atakuja kujua nn maana ya ConnectionUne maanisha nini mkuu🤔
Dah mkuu nime msagia kunguni wapi??, Au una taka kuthibitisha ujinga🤔sometimes kujuana hum ni hatar sana.Ona sasa unamsagia kunguni mwana.
SanaPole mkuu, ila Jamaa kazingua aisee🙉
Halafu still Kuna watu wanasema, namsagia kunguni aisee😀.Yani huyo dogo ni wa fungu lakukosa mwache asote akili itamkaa sawa atakuja kujua nn maana ya Connection
Kwanza tujiulize, jamaa yupo wapi? Kwa sababu ameshasema hana nauli, bila shaka ni mbali sana na dili lilipo.Sasa mkuu Kama hutaki, SI una wajulisha wafanye utaratibu mwingine.
saa hizi Yuko Kwenye group la kuchambua mpira🙉.Sana
Atapata labda namna hukosaa hizi Yuko Kwenye group la kuchambua mpira🙉.
Take it from me huyo jamaa ana ugonjwa wa akili, kama munamjali muwahisheni haraka hospitalini.Nimeamua kuandika Uzi huu, ili vijana tukumbushane kutumia Fursa kwa muda muafaka baada ya kufanyiwa uhuni na rafiki yangu mmoja(x).
Ndugu yetu huyu (x) amekuwa na tabia ya kulalamika kuwa Hali ni ngumu, na hivyo tumfanyie mpango wa yeye kupata ajira au kazi yotote itakayo msaidia.
👉Hazikupita siku nyingi, ndugu yangu mmoja katika utafutaji(huyu tumuite y) Ali nipigia simu na kuni julisha juu ya uwepo wa nafasi ya kazi katika kampuni moja ya uuzaji wa rangi.
Nami nikaona sio vibaya, niki mpigia pande rafiki yangu x (kosa kubwa 🙉). Basi nikamjulisha Kaka (y) kuwa kuna rafiki yangu mmoja ana weza akafaa kwa nafasi hiyo.
👉Aka nihoji Kama namfahamu vizuri??, Je ni muaminifu, muadilifu??. Nikajibu ndio na kummwagia sifa Kama zote x.
Kaka (y) aka nipa taratibu zote ambazo zilipaswa kufuatwa, ili Jamaa yetu huyu apate nafasi hiyo ya kazi.
👉 Kijana x, ali paswa aandae wasifu mdogo(mfano wa CV) aki elezea yeye ni Nani?
👉Ana omba kazi kitengo kipi??( Kitu kimoja alicho ambiwa kaka y), nafasi hii ime tolewa kwa ajili ya kijana ambaye ata kuwa Kama ana tumika kufanya baadhi ya deal( so akiwa smart ita mtoa).
👉kijana anaye omba nafasi hiyo, alikuwa na siku 2 za kutuma wasifu huo. Hivyo Ali paswa autume haraka.
Kisha ajiandae na interview, ambayo ange pita bila kipingamizi chochote.
👉kwa maana ya kwamba mtu anae wafanyia interview, alikuwa ana taarifa zake zote. Hivyo ni suala la kukamilisha taratibu tu.
Kijana (x) aka pewa taarifa zote na utaratibu anao paswa kufata, kwa bashasha na kujiamini akasema haita chukua hata nusu saa(30) ata kuwa Kama liza.
👉Cha kushangaza siku nzima ikaisha, pasipo kijana kufata taratibu alizo pewa.
Nikapigiwa simu na Kaka (y) Aki niuliza mbona mpaka Sasa Hakuna kitu kilicho fanyika?
Kaka (y)Aka niomba nimpe namba za simu za kijana (x), ili aweze kuwasiliana nae ajue kakwama wapi?
👉Kijana (x) kupigiwa simu aka Anza kutoa sababu za ajabu na kipuuzi, eti Sina nauli ya kwenda sehemu hiyo ya kazi(🤐).
👉Kaka (y) aka muambia nauli sio tatizo, Kikubwa tuma wasifu wako sehemu husika.
Siku ya 2, ika Isha kijana (x) haja fanya Kama alivyo elekezwa, na kibaya zaidi haku nipigia simu mimi Au kumtafuta Kaka y).
👉Nika amua nichukue jukumu la kumtafuta kijana (x), sababu alizo nipa ni kuwa hakuwa na bundle la internet hivyo Ali shindwa kutuma wasifu(cv).
Mpaka Sasa kijana x, haja mtafuta kaka (y) angalau kuomba msamaha au kujutia kwa kitendo Cha kihuni alicho kifanya.
👉Sasa naji uliza vijana tuta fika kwa mtindo wa kihuni wa Aina hii?
👉Ungekuwa wewe, unge chukua maamuzi yapi??
I mean no to nobody
View attachment 2734711
Mkuu nauli yenyewe ni elfu 5 tu, sehemu na kingine hayo yote walikuwa Wana yajua waliyo muita.Kwanza tujiulize, jamaa yupo wapi? Kwa sababu ameshasema hana nauli, bila shaka ni mbali sana na dili lilipo.
Hujajiuliza kama anatafakari ni wapi atafikia. Ataishije kwa wakati anaposubiria mshahara.
Lakini pia, umesema kijana alikuwa anaandaliwa kwa ajili ya Majukumu ya kupiga 'dili'. Kwa tafsiri nyepesi dili ni mapato nje ya utaratibu halali.
Kuchepusha mapato ya kampuni.
Unajuaje kama Mungu kamuepushia jumba bovu lisimuangukie? Na ikakucost wewe pia?
Hapanaaa 😅Dah mkuu nime msagia kunguni wapi??, Au una taka kuthibitisha ujinga🤔
Mgonjwa ambaye ana pata nguvu za kujadili league ya mpira🤔😀.Take it from me huyo jamaa ana ugonjwa wa akili, kama munamjali muwahisheni haraka hospitalini.
Wala siyo ya kunisimulia mzee kuna mmoja hapa alikimbia na hela ya ofisi na simu mdhamini ofisini nilijiweka mim kuna muda mtu unamwangalia unamuacha tuHalafu mkubwa kabisa 😀🤔
Mjubaa au hii ni I'd yako nyingine😀, maana Ume nitia hasara na hasira😀Hapanaaa 😅
Piga juju tu huyo😀Wala siyo ya kunisimulia mzee kuna mmoja hapa alikimbia na hela ya ofisi na simu mdhamini ofisini nilijiweka mim kuna muda mtu unamwangalia unamuacha tu
Sijakutia bwanaMjubaa au hii ni I'd yako nyingine😀, maana Ume nitia hasara na hasira😀
Dharau Sasa hizi mkuu🤔, mi nta kutia ndani.Sijakutia bwana
Tukuulize wewe,Mkuu nauli yenyewe ni elfu 5 tu, sehemu na kingine hayo yote walikuwa Wana yajua waliyo muita.
👉Halafu kuhusu hizo deal ni taarifa tu, maana Kuna kuuza rangi kwa promotion.
👉halafu ndo ashindwe kutoa hata taarifa aisee🤔😀
Tuyaache haya though nimesha predict aina ya hasara unayoizungumzia hapa.Dharau Sasa hizi mkuu🤔, mi nta kutia ndani.
Huyo X ana kazi yake, alikuwa akikudanganya kuwa hana kazi.Nimeamua kuandika Uzi huu, ili vijana tukumbushane kutumia Fursa kwa muda muafaka baada ya kufanyiwa uhuni na rafiki yangu mmoja(x).