Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Kweli bora ujikalie tu kimya,, akikumbuka atakutafuta mwenyewe asipokumbuka wewe tulia tu ufanye mambo yako ya msingi
Hata aki nikumbuka, sijui Nita zungumza nae nini.
👉Kwani tayari kasha muharibia Kaka (y), kaonekana ni mswahili aliye changamka.
 
Mpotezee tu nae anajua kosa alilofanya.
Sometimes wanaume huwa hatuaniki matatizo au kushindwa kwetu kwa vitu vidogo vidogo ambavyo wengine huona ni vidogo sana.

Wewe ni rafiki yako bila shaka unamjua zaidi yetu.
 
Mkuu shida kafanya vitu vya kipuuzi Sana, watu wali hitaji mtu katika sehemu fulani.
👉Aka ulizwa akasema ata enda, matokeao kabaki ana chambua mpira🤔
 
Back
Top Bottom