Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Lakini huwezi jua, labda alikosa nauli kweli na bando maana maisha haya watu tunatofautiana uwezo. Pengine pia aliona jau kukwambia umsaidie bando na nauli mngemuona Jau ndomana kaamua kukaa tu kimya maana hana namna😥😥
muhusika mkuu Ali mpigia, aka mwambia atume wasifu wake (cv).
👉Maana swala la nauli sio shida🤒
👉 Halafu cv Ina ukubwa wa kutumia hata mb 20 kweli😀
 
Sijaona kama umemsaidia.

Au pengine kusaidia ina tafsiri pana sana. Bali ulikuwa na nia ya kumsaidia.

Hata hivyo, hajafanya lolote baya. Mungu ana njia kibao, kazuia mwenzako asipate ili mwingine apate. Hayo ndiyo maisha.

Shukuru Mungu na mengine yaende.
 
Sasa mkuu Kama hutaki, SI una wajulisha wafanye utaratibu mwingine.
 
Na bado hapa atafungua uzi kwa I'd mpya akihitaji msaada, binafsi mimi ni fundi umeme mwenye connection au kwenye utalii mountain guide nipo Kilimanjaro and Meru it's a high season now but things went wrong to me
 
Back
Top Bottom