To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kakiswahili haka kamekaa kinoko kweliako na sonona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kakiswahili haka kamekaa kinoko kweliako na sonona
Si umwache kwan mlizaliwa tumbo moja ...Wakuu,
Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah!
Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana au sijajua kwanini?
Iko hivi wakuu, jana nimemfuma huyu mwanamke akiwasiliana na mwanaume mwingine simtaji jina, ila nahisi yupo humu humu JF kwa jina jina simtaji.
Huyu jamaa wa humu Jamii Forums anajua na mke wangu toka siku ya kwanza na aliniambia ameshawahi kuwa mtu wake, siku hizo kipindi wanasoma chuo, ila nikapotezea kabisa.
Sasa jamaaa baada ya kuona namsifia humu JF mshikaji akampandia hewani wakaanza kuchati naye sana na nahisi mshikaji amepiga kiboga tayari kwa sababu nimeona kuna ujumbe mmoja anasema, "Ahsante kwa kuniridhisha kuliko mume wangu", dah!
Na huyu mke wangu kumbe ana mimba ya miezi mitatu, kwa maana 'gestation age' ya 12, aisee sasa sijajua hii mimba ya yangu au ya mshikaji mwingine. Aisee jamani ako na sonona hapa na wala sijielewi nifanyeje hapa.
Hawa wanawake wa kichaga sijui wana shida gani, daaah wadau hapa nifanyeje? Na nimempigia mama yake na yeye anaongea utumbo tu. Kuna comment ya mshikaji alicomment niweke akiba ya maneno, hapo nimekumbuka ni kweli hivi viumbe siyo poa kumbe aisee.
Wadau rejeeni kisa cha Samson na Delilah na pia kisa cha Adam na Eva, aloo nyie viumbe Mungu anawaona, kumbukeni kuna maisha baada ya kufa aisee. Nawashauri vijana kabla hamjaoa jaribu kumchunguza huyo mke wako kabla haujafikia hatua ya kumuoa.
Wadau ako na sonona hapa nimeenda kazini tu ila akili yangu haipo sawa, nitaenda kazini kuomba ruhusa kama ya wiki mbili nitadanganya naumwa ili niende nikapumzike fukwe za Ibiza au Hotel Verde zanzibar.
Daaah! 'One man down' aisee.
Sio wachaga wote...Wakuu,

Nakuunga mkono. Tena ilo afisa usalamaJamaa ana IDs nyingi sana humu, nahisi hata 10 anafikisha
Ukikutana na maneno kama "ufukwe wa bahari za verde, mtoto wa trump, jumba la kifahari, afisa usalama ofisi ya Rais" usihangaike hata ku comment
Vipi Bro mimba ya wife inaendeleaje?Wakuu,
Kweli nimeamini hawa viumbe ni nyoka aisee, nimekoma kuoa hawa watu watu kutoka kanda ile ya Kaskazini, hawa wanawake siyo poa kabisa najuta kabisa, dah!
Huyu mwanamke anajikuta ni 'feminist' sana, jeuri, kiburi na dharau juu, sijui kwanini ananifanyia hivi, sijui anajua nampenda sana au sijajua kwanini?
Iko hivi wakuu, jana nimemfuma huyu mwanamke akiwasiliana na mwanaume mwingine simtaji jina, ila nahisi yupo humu humu JF kwa jina jina simtaji.
Huyu jamaa wa humu Jamii Forums anajua na mke wangu toka siku ya kwanza na aliniambia ameshawahi kuwa mtu wake, siku hizo kipindi wanasoma chuo, ila nikapotezea kabisa.
Sasa jamaaa baada ya kuona namsifia humu JF mshikaji akampandia hewani wakaanza kuchati naye sana na nahisi mshikaji amepiga kiboga tayari kwa sababu nimeona kuna ujumbe mmoja anasema, "Ahsante kwa kuniridhisha kuliko mume wangu", dah!
Na huyu mke wangu kumbe ana mimba ya miezi mitatu, kwa maana 'gestation age' ya 12, aisee sasa sijajua hii mimba ya yangu au ya mshikaji mwingine. Aisee jamani ako na sonona hapa na wala sijielewi nifanyeje hapa.
Hawa wanawake wa kichaga sijui wana shida gani, daaah wadau hapa nifanyeje? Na nimempigia mama yake na yeye anaongea utumbo tu. Kuna comment ya mshikaji alicomment niweke akiba ya maneno, hapo nimekumbuka ni kweli hivi viumbe siyo poa kumbe aisee.
Wadau rejeeni kisa cha Samson na Delilah na pia kisa cha Adam na Eva, aloo nyie viumbe Mungu anawaona, kumbukeni kuna maisha baada ya kufa aisee. Nawashauri vijana kabla hamjaoa jaribu kumchunguza huyo mke wako kabla haujafikia hatua ya kumuoa.
Wadau ako na sonona hapa nimeenda kazini tu ila akili yangu haipo sawa, nitaenda kazini kuomba ruhusa kama ya wiki mbili nitadanganya naumwa ili niende nikapumzike fukwe za Ibiza au Hotel Verde zanzibar.
Daaah! 'One man down' aisee.
A lakini alikuwa mchaga mwenzio nikampiga chini 😃 😀Vipi Bro mimba ya wife inaendeleaje?
Dah hongera kwa kujikomboa Shemeji 😅😅😅Mtoto aliza
A lakini alikuwa mchaga mwenzio nikampiga chini 😃 😀
Huyo huyo si unamfahamu?Huyo sio adelina hilde kweli?
Asante ilkuwa sio poaDah hongera kwa kujikomboa Shemeji 😅😅😅
Kama ni Huyo ninamfahamuHuyo huyo si unamfahamu?
Ndiyo huyo mkuuKama ni Huyo ninamfahamu
Wakuu,