Najuta kuoa huyu mke wangu Adelina

Si umwache kwan mlizaliwa tumbo moja ...
Piga chini aende kwa mwanajf wake
 
Kuna demu wa kichaga kaolewa kasema anaenda kwao kuhesabiwa akirudi tunakumbushia
 
Sio wachaga wote...
 
Jamaa ana IDs nyingi sana humu, nahisi hata 10 anafikisha

Ukikutana na maneno kama "ufukwe wa bahari za verde, mtoto wa trump, jumba la kifahari, afisa usalama ofisi ya Rais" usihangaike hata ku comment
Nakuunga mkono. Tena ilo afisa usalama
 
Sasa ww mke wako unamsifia hadharani/humu jf unategemea nini?
Haina tofaut na mtu anayetangaza biashara..

Mke ni wako sifa n.k ni ww na yeye kupeana huko chumban sio hadharani..
Pole sana kaka
Vumilia tu huyo ni wako
 
Vipi Bro mimba ya wife inaendeleaje?
 
 
 
kitu chenywe kikioshwa tu na maji moto kimerudi upya unaumia nn
 
daima nitaendelea kuipa Bagni heshima yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…