Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeUsiku hapa niko na hasira kama zote.
Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.
Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila sababu ya kuitwa mke.
Kwa sasa amebadilika madharau, kiburi, jeuri, Mwenye kinyongo, gubu, asiye na shukrani.
Mungu anisamehe ila nitamwacha tu.
Ngoja watoto wakue.
Siwezi kuishi na mwanamke mpumbavi