Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

Aisee
 
Heeeh!! Ushakuwa mganga🤣
 
Mimi pisi haiwez kunidharau! Huwa sina mbili kwenye moja mm ni authoritarian
 
Kwa stage niliyofikia nitamwachq tu

Mtu anawadharau ndugu zako yeye anataka amani na ww.

Nimemwambia ndoa ya kudharau ndugu zangu haipo hiyo
Vipi wewe kwa upande wa ndugu zake? Na je vipi hao ndugu zako do they treat her well kama unavotaka? Maana ukiskiliza upande mmoja utajikuta unachagua mke kila siku sababu ya ndugu, n mind you hujaoa mke kwa ajili ya ndugu! Maisha ni yako wewe na yeye na watoto wenu! Usikurupuke kuacha mke kisa ndugu, ndugu wa mume ni wasnge....sisemi kwa sababu tuu kaa tafakari na fuatilia jinsi wanamtreat mkeo ndo utajua usifikiri ndugu kwa vile wanakupenda lazima na mkeo watampenda HAPANA! Huyo mkeo wanaishi naye tu kwa sababu ni mke wa ndugu yao!
Kwa stage niliyofikia nitamwachq tu

Mtu anawadharau ndugu zako yeye anataka amani na ww.

Nimemwambia ndoa ya kudharau ndugu zangu haipo hiyo
 
Pole sana Mkuu, wanawake wote wako hivyo hivyo! Yaani ni stage ktk ndoa, kilichompata Mamba, na Kiboko kitampata, ni suala la muda tu. Komaa na mtu wako.

Ila Dawa nzuri kuliko zote ni kua na Mchepuko.
 
mkuu mpelekei moto ndo maan hakuheshim anakuona kinyesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…