Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Ukitaka amani..karata ipo kwa huyo mtoto..changa vizuri

Ila c uwa mnaambiwa????
 
Kwani mkuu una uhakika wewe huna mbegu yako huko inalelewa na mtu mwingine.
Angalia isije ikawa unavuna ulichokipanda afu unalalamika.
 
Kiumbe wa watu kakukosea nini? Mpelekeni Bweni then Focus na penzi lako.

Hiyo chuki kwa mtoto sio nzuri.
 
Mpige mimba mfululizo uwe unawaangalia wanao, suluhisho ndio hilo tomba zalisha watoto hata 6 hivi kisha usiwe unamuangalia huyo mwanamke waangalie wanao
Sasa mkuu kama Mke wake anatumia Uzazi wa mpango je na Single mother hawataki kuzaa mtoto wa pili mpaka huyo mtoto wao wa kwanza awe na uhakika wa kusomeshwa na Baba Wakambo, Maana Baba mtoto anakua hajali matumuzi ya mtoto na utakuta Kazaa na Mume wa mtu.
 
Mkuu sio kwamba nakula bata. Mambo ni magumu. Nomba usimfukuze mwanangu. Nisaidie tu kulea. Akikua nitamwambia akusaidie na wewe.
 
Yaani wanaume wa sasa
Kiongozi hata sikuelewi
Yaani umemwoa mwanamke mwenye mtoto halafu unaona shida kutunza mtoto?
Kwa taarifa yako hao watoto ndio wanakuja kuwa na msaada kwako kuliko hata wa kwako uliye mzaa.
Nikutoe wasiwasi kuwa; Watoto wa kizazi hiki wanatambua mzazi ni yule aliyemlea na sio yule aoliyemtelekeza. Jitahidi Asome kabisa tena vizuri kwa kadri ya uwezo wako.
USHAHIDI WA NIYOANDIKA NI MWINGI SANA, ULIZIA TU HATA HAPO MAENEO YA KWAKO
 
Vijani wa sikuhizi majinga sana, Mimi nimeoa nikiwa na umri wa miaka 34 lakini sijaoa Single mother Nimeoa mtoto mbichi, Single mother nilikua nawafanya uwanja wa Mazoezi, Na mshangaa huyu kijana mdogo ameo Single mother wakati alitakiwa aoe binti wa miaka 20 mpaka 23 wapo kibao mitaani na uko mikoani.
 
 
Kila siku tunasema kuhusu singo mama uku lakini kuna watu mnapitaga izo uzi uku mkisonya..
Ayaa sasa limekupataa.
 
baba yangu alikuwa na watoto ambao sio wa mama yangu. sisi binafsi tulipenda na na tunapendana mno, hata kama mama angemchukia vipi yule mtoto bado sisi tuliona ni kaka, mtoto wa baba na tulimpenda. alikuja kutokea kuwa ndiye msaidizi mkubwa wa sisi wadogo zake na hadi mama mwenyewe. naifahamu familia ambayo single maza alikuwa kwenye mazingira yako, yule mtoto wa kufikia ndiye alikuja kuwa mkombozi wa wadogo zake wote na ilitokea hivyo kwa mateso na masumbufu aliyoyapata toka kwa baba wa kufikia, akawa kama mwanajeshi, mzoefu wa shida, mpambanaji, hiyo ikamtoa kimaisha akafanikiwa sana kwani alijua yeye mtu pekee wa kumsaidia alikuwa mama yake, baba yake wa kufikia hampendi na baba wa damu hana msaada, akapambana kivyake tangu shule. mamake alimwambia hali halisi kwamba usipopambana wewe upo peke yako hapa nikiondoka leo utajuta,watakutesa hawa. akapambana sana, matokeo yake yeye ndiye amefanikiwa mitoto ya baba wa kufikia imekuwa mzigo kwake tena na baba wa kufikia anasaiidiwa naye pia.

nachokushauri, kama umeshazaa na huyo single maza, watoto wako hawaoni tofauti yeyote kwa huyo mtoto, wanamwona mwenzao kwa sababu wamenyonya ziwa moja, na yeye anawaona watoto wako kama wadogo zake na anawapenda na akifanikiwa hatawaacha. kamwe usijefikiri atawatosa wadogo zako, isipokuwa kama ukiwapendelea mbele yake. watoto walionyonya ziwa moja sio rahisi kuachana hata kimaisha.
 
Mzee apo umeshayavaa....kiukweli kazi unayo na huyo Mtoto lazima aje kumtafuta Baba yake.
Apo kimbia mzee ukaanzishe himaya yako
Kwani mkuu lengo la kulea mtoto wa mke wako ili hasije kumtafuta Baba mzazi? Kwani mtoto kumtafuta Baba Mzazi ni kosa au kutaka kujua kwao ni kosa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…