Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Hujaelewa point Mzee unamlea alafu badae hakutambui kwa lolote.Kwani mkuu lengo la kulea mtoto wa mke wako ili hasije kumtafuta Baba mzazi? Kwani mtoto kumtafuta Baba Mzazi ni kosa au kutaka kujua kwao ni kosa?
Ni ana ROHO MBAYA.. KIFUPIKatika watu wenyewe huruma na roho nzuri Kwa watoto ni wanaume Hilo halipingiki ila nakushangaa wewe utakua na shida
Mi naona bora waachane tu kama jamaa hajafanikiwa kupata mtoto na huyo mwanamkeKuna kichuki kimemuingia na kitampeleka pabaya
HaifaiMi naona bora waachane tu kama jamaa hajafanikiwa kupata mtoto na huyo mwanamke
Kwanini uliwabishia Wazazi kwenye jambo la muhimu, Kwenye jambo la ndoa Wazazi wanakua wameona mengi na wana uzoefu wa kuona kupitia kwa jamii. Mzazi akikwambia jambo msikilize ana kupenda.Wazazi wangu walikataa sana hili, ila nikakaidi, saivi imebaki majuto. No way nifanyeje Sasa? mtu tayari yupo ndani!!
Kuendelea kukaa na mtoto kama hampendi anaweza mfanyia kitu kibaya. Na ukisema mwanamke ampeleke either kwa baba yake au bibi yake pia huyo mwanamke hatokaa awe na upendo na huyo mwanaume.Haifai
Ndiyo kwasababu watoto pale ni kwao na wana rithi mali za Baba yao.Ila mnapenda wake zenu walee watoto mliozaa huko nje nakumleta hapo nyumbani!
Kazi ipoKuendelea kukaa na mtoto kama hampendi anaweza mfanyia kitu kibaya. Na ukisema mwanamke ampeleke either kwa baba yake au bibi yake pia huyo mwanamke hatokaa awe na upendo na huyo mwanaume.
Pole sana ila ukipenda boga penda na ya lakeWanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Na hayo makasiriko yake wataweza kumuua kabisaAkiwa mkubwa, atashirikiana na mama yake kukupiga
Muwe mnafanya follow-up wakuu Kila mkoa mnaotembelea ili msiwatese hao vijana wenu😅😅Nimejihisi na mimi kabisa.
Mbaya zaidi Kajamaa kanampigia simu "Huyo mtoto anaendeleaje?"WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Aisee pole sanaa, kwa jinsi ulivyoandika inaonyesha kama kweli upo SERIOUS.
Kwa kweli hiyo scenario inahitaji moyo sanaa. Mimi nilikubali matokeo nilimpenda mdada mmoja alikuwa ni mwenye kila sifa ya kuwa mke lakini ilinibidi nimuache tuu kwa sababu AKILI ilikuwa inakataa kila nikilazimisha naona hii issue sina misuli ya kulibeba hili Suala. Ila nilimpenda sanaa na kweli alikuwa na heshima! Ila daaah...namlaumu sanaa yule aliyemuacha na mtoto wa kiume. Amemchafua mdada wa watu mzuri tuu! 😪😪😪
Ndio ateleze aangukie dudu la yuyu na mimba juu? Kwann siteleze aangukie kwenye bible au msaafu alinde heshima yake?Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...
Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Mpende jirani yako kama unavyojipende?WanaJF