Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Wewe mtunze tu
Acha wenge
 
Ujue bana mambo kama haya ulitakiwa uwaze pande zote kabla kisha ufanye maamuzi yaliyo sahihi ambayo yasingekuumiza.

Sasa hapo huyo mkeo unamwambiaje sababu kipindi unamuoa ulikuwa na akili zako timamu kabisa. Lol
 
Bila shaka huyo ni mtoto wa ni WA kiume ila angekuwa wa kike naiman ungempenda na kumkubali
Sijui Kuna kitu gani watoto WA kiume tuliowakuta Kwa single mother huwa hatuwakubali ata kidogo
 
Xavi22
 
Hakika umenena Kiongozi. Huyu mwanamke mapenzi yake makubwa yapo kwa mtoto wake, na amefika sehem mtoto anajua Mimi siyo Baba yake, yote haya najua Mama yake ndiyo akamwambia.
Can you imagine hii hatua tuliyo fika ilivyo mbaya?
 
Nimeongea naye lakini naona ishakua ngumu kwako so best solution hapa ni kuachana naye tu.
 
Mpe talaka umuache huyo mwanamke, huko mbele utakuja kumuua huyo mtoto, wewe una roho mmbaya.

Wamama acheni kuingia kwenye mahusiano mengine huku ukijua una watoto.

Padre nilimpata baada ya watoto wangu wote kukua.
Naomba nieleweke simchukii huyu mtoto lakini nafsi yangu imegoma kabsa kumpenda.

Ni mda Sasa najilazimisha kumpenda lakini nimeshindwa kabsa. Ni wakati Sasa niutue huu mzigo nafsi yangu ibaki huru.
 
Uzi ufungwe.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Naomba nieleweke simchukii huyu mtoto lakini nafsi yangu imegoma kabsa kumpenda.

Ni mda Sasa najilazimisha kumpenda lakini nimeshindwa kabsa. Ni wakati Sasa niutue huu mzigo nafsi yangu ibaki huru.
Maelezo yameshakuwa mengi, funga thread, achana na huyo single mom, ulete mrejesho ili watu wapate somo.
 
asa si umtie mimba akuzalie, unahangaika na kumchukia dogo janja wakati mzg unao ndani tia mimba
Hana huo uwezo wa kumtia mimba mkewe na ndio maana anaumia sana, muombee tu apate uwezo wa kumtia mimba mkewe
 
Once you've taken off your clothes to water, you have to bathe. But Nigga., Kama mwanamke ulimpenda mwanzo na mwanae na Hana matatizo unaweza kuendelea kuishi na huyo mtoto pengine akakusaidia.
 
Nyie BaroBaro mkiamka Asubuhi Uume umecmama mnawaza kuoa, ndoa co betting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…