Kuna wanaume huwa wanaona fahari kulea mabao ya wanaume wenzao wakiamini eti ni kupalilia chemi chemi ya baraka, yaani kabisa unaacha kulea watoto wa wajombaa zako wenye hali ngumu za kimaisha huko kijijini ambao unachangia nao ukoo halafu eti unaenda kujipendekeza kwenye damu za watu kutoka ukoo mwingine ndio upate baraka?Upendo kwa kule Mkojo wa mtu mwingine.....ili hali yuko hai. Ina hustle wakati baba yao pesa anashinda bar na kuhonga wanawake? Utakuwa ni mpumbabu kweli kweli
Dude i envy your naivity and ignorance about women...nani amekufundisha mwanamke akiwa na mtoto hawezi kupenda ?
Nataka za mungu! ebu acha hizo single mama naweza kuoa lkn sikai na watoto wakeMpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...
Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Ni watumwa wa nyege tu hakuna kingine. Kama ni roho nzuri si waanzie na ndugu zao?Kuna wanaume huwa wanaona fahari kulea mabao ya wanaume wenzao wakiamini eti ni kupalilia chemi chemi ya baraka, yaani kabisa unaacha kulea watoto wa wajombaa zako wenye hali ngumu za kimaisha huko kijijini ambao unachangia nao ukoo halafu eti unaenda kujipendekeza kwenye damu za watu kutoka ukoo mwingine ndio upate baraka?
Kweli kurogwa kupo.
nani kakufundisha mtu akiwa single mother hawezi kupenda hebu fungua akili dogo naona najadili mada negative sanaDude i envy your naivity and ignorance about women...
Kwamba single mother atakupenda sio?
Yuko jamaa mmoja alioa single mother kule Marekani mtoto akiwa mdogo tu. Huyo mtoto sasa ni Jeff Bezos. Baba mzazi hana hata ubavu wa kuomba mia.WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Kwani huyo mtoto kamwambia ataridhi mali z.ake, aangalie tu asije akaingiwa na roho mbaya mbaka mtoto Kwa ujinga wake tuNdiyo kwasababu watoto pale ni kwao na wana rithi mali za Baba yao.
Kumbuka mtoto sio yatima.Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...
Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Sio damu yake haitakubalikaMtoe kafala kwa fliimason🐼
Kwigwa kwa mbulu mbaka mininga mpoto
Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu
Possibly kabisa! Damu ni nzito sanaa kuliko maji. Aidha, wana-pyschology wanasema mwanamke akishajifungua tuu mtoto wake wa kwanza mapenzi kwa mumewe hupungua kwa kiasi fulani, sasa je wewe ambaye ndo umekutia ngoma moja bila? Hii ni hatari zaidiMimi nilijinusua hapa
Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!
Yaan inshu hapa ni kwamba, Huyo mtoto mwisho wa siku Licha ya Pesa utakayotumia bado ataambiwa Baba yake , na usikute jamaa aliachana naye demu Kwasababu tu za kawaida .
Pili Kuna uwezekano jamaa kama Maisha amefanikiwa, atamwambia Demu, njooo Tuishi tulee mtoto wetu Kwa Sasa Niko vizuri.
Mawasiliano yako palepale.
Oyaaa ni ngumu
Ni balaaa , Mwanamke hawez msahau mwanaume wake alomtoa Bikra, na wa kwanza kumzalisha.Possibly kabisa! Damu ni nzito sanaa kuliko maji. Aidha, wana-pyschology wanasema mwanamke akishajifungua tuu mtoto wake wa kwanza mapenzi kwa mumewe hupungua kwa kiasi fulani, sasa je wewe ambaye ndo umekutia ngoma moja bila? Hii ni hatari zaidi
Achana na huyo mwanamke kwani kuna siku utakuja kumuwekea huyo mtoto sumu umuue na wewe uishie jela.WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...
Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Nimetongoza mtu na mama yake wote wamejaa kwenye kumi na nane halafu wameolewa,