Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Acha ufala Kijana, ungekuwa mwanangu ningekugonga ngumi za uso ili akili yako ikawe sawa, badala ya kumshughulikia mkeo apate ujauzito unaleta habari za kijinga. Usitupotezee muda pambana ukishindwa omba msaada kwa marijali wakusaidie.

Samahani kama nimekukwaza ila nimekuambia ukweli mchungu.
 
Sasa tukusaidie nini 😂 si uondoke ukatafute mwanamke mwingine huyo mwachie amani yake ! Ulimkuta na mwanae hiyo ni damu yake lazima uwapende wote mambo ni mawili umpende yeye na mwanae au uondoke ! Ukatafute mwingine.

Usitie huruma hapa ,kujiliza liza ! Ndo mkitoka hapo mnapata misongo na hasira mnabaka na kulawiti watoto !

Toka uondoke , na ujifunze kuwa unawasikiliza wanaume wenzako.

Tena huyo single maza naomba akujue mapema akupe sumu labda akili zitasogeleana maana umemzidishia emotional demage 😂
Huu ushauri umeuandika kiutani ila ni mkubwa sana kwa maana umejikita zaidi kwenye madhara yanayoweza kujitokeza pindi hiyo hali itakapozidi.
 
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Umeoa au umesogeza?

Kuoa namaanisha kama ulifuata taratibu zote za kisheria.

Kama umeoa, wazazi wako hasa mama aliridhia?

Mkeo ushawahi kumpeleka kwenu?

Mzazi mwenzake wa huyo mtoto unamfahamu?

Wazazi wako walimpokeaje?

Kama ulisogeza ni kitu gani kinakufanya ujute na kuanza kulialia, kwamba umeshindwa kumtema kwa kutumia tu uongo kidogo kabla unyumba wenu haujaota mizizi, hadi utumie ushauri wa watu?

Una umri gani kwani!

Mkuu mada tukiikandamiza maswali hii, naiona eti kama inaelea haina uzito wowote kama puto ama kwa lugha nyingine 'chai jaba'?
 
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
IPO ivi mdg wangu utoto Bado unakusumbua huja mature kiakili, nilidhan labda umekuta mke wako Wana mawasiliano chanya na huyo baba wa mtoto ila kumbe ni unajutia maamuzi ulioyafanya apo umefeli, unapomsaidia mtu yeyote usi demand kulipwa fadhira Fanya kama unatoa sadaka kanisani, Mimi baba angu alinifukuza home kipindi nasoma na nilipokua shule nikipata rafiki mchaga akaenda kuwaeleza kwao kua nna matatzo na anaomba nikae kwao,

Akanikubalia nikaenda kukaa kwa yule mchaga ambae sina undugu nae hata tone alinilea kama mwanae wa kuzaa kwa kunipa mahitaji yote muhimu na kipindi hiko baba ni mfanyakazi serikalini na huyu bwana ni mfanyabiashara

mpk Namaliza shule naamua kuondoka kwake sijawah kumlipa hata sent kuhusu kunilea

Na hajawahi kunilaum wewe kulea mtoto wa mwenzio unaona ni kazi,, kwa hyo ata watoto wako utawalea uki demand watakuja kukulipa??

Lea kama unavoweza kumlea mtoto uliemuokota mtaani au kama mwanao au kama mtoto wa ndg yako acha ufala
 
Nimetongoza mtu na mama yake wote wamejaa kwenye kumi na nane halafu wameolewa,
 
Huyo mtoto Hana kosa mkuu usimchukie tafafhari..
Kaa chini na Mama yake akubali mtoto akaishi kwa baba yake kama Bado yupo hai au kwa Bibi.
 
Nikajua labda tatizo ni mawasilino kati ya mkeo na mzazi mwenzake, kumbe ni huyo mtoto! Unatia aibu, mtoto ni malaika, ulivyoamua kumlea mwanzo ulitakiwa kufikiria yote pamoja na huyo mtoto.

Kama mama yake hakusumbui, lea mtoto, ni sadaka unatoa. Huyo mpuuzi aliyeacha damu yake bila kuiangalia wala usimfikirie.
 
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Huna mamlaka naye
1. Kifamilia
2. Kisheria
3. Hata kiroho.
 
Uwongo mtupu huu. Na sina hata haja ya kutoa maelezo

Huu ni muendelezo wa wakataa ndo na wanyanyasaji wa Ma single mother.

Uwongo na upuuzi mtupu huu
 
1.Mwambia Mkeo amupeleke huyo mtoto kwa Baba yake,au kwa Bibi yake.
2.Ukishindikana muweke wazi kuwa huwezi kuishi na huyo mtoto,kama hawezi kupelekwa kulelewa pengine basi pianani talaka-nyi e hamjazaliwa tumbo moja kwamba no lazima mzeeke pamoja.

Fanya kitu kinachokupa furaha maishani,maisha ni mafupi sana acha kuishi kwa stress utakufa mapema sana.
Hiyo option ya 1 Nimemwambia afanye hivyo amekataa Mkuu. Option ya 2 ndiyo nafikiria kufanya hivyo aisee..
 
Yani mwanaume una 28 yrs kijana mbichi kabisa unaenda kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine kweli??,hivi huwa mnafikiri kwa kutumia akili au??
Wanawake wenyewe wa kitanzania suala la uaminifu kwao ni zero,kesho ukimkuta anawasiliana na mzazi mwenzake utajisikiaje??,suo ndio chanzo cha migogoro na hatimae kifo.

Achana na huyo mwanamke,tafuta mwanamke ambaye hajazaa uoe.Kila mtu ahukumiwe na maamuzi ya maisha yake-yeye alichezea maisha yake kwa kuzaa mapema basi akae bila kuolewa afaidi matunda ya maamuzi yake.
 
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Mpende huyo mtoto na umhudumie kama ulivyoazimia. Siku utakapomgusa huyo mtoto asiwe sehemu ya familia yako ndoa yako itakuwa imefikia mwisho.
 
Kama uliweza kuweka pamba masikioni... sasa vaa miwani usimuone huyo dogo okay?
Screenshot_20240616-114906~2.jpg
 
Back
Top Bottom