Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wewe ukikutana na mwanaume mwenye mtoto na bado anatabaabika na maisha, unaweza kukubali kuolewa na uyo mwanaume na kumuhudumia mtoto wake?Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...
Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...
Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Huu ushauri umeuandika kiutani ila ni mkubwa sana kwa maana umejikita zaidi kwenye madhara yanayoweza kujitokeza pindi hiyo hali itakapozidi.Sasa tukusaidie nini 😂 si uondoke ukatafute mwanamke mwingine huyo mwachie amani yake ! Ulimkuta na mwanae hiyo ni damu yake lazima uwapende wote mambo ni mawili umpende yeye na mwanae au uondoke ! Ukatafute mwingine.
Usitie huruma hapa ,kujiliza liza ! Ndo mkitoka hapo mnapata misongo na hasira mnabaka na kulawiti watoto !
Toka uondoke , na ujifunze kuwa unawasikiliza wanaume wenzako.
Tena huyo single maza naomba akujue mapema akupe sumu labda akili zitasogeleana maana umemzidishia emotional demage 😂
Umeoa au umesogeza?WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
IPO ivi mdg wangu utoto Bado unakusumbua huja mature kiakili, nilidhan labda umekuta mke wako Wana mawasiliano chanya na huyo baba wa mtoto ila kumbe ni unajutia maamuzi ulioyafanya apo umefeli, unapomsaidia mtu yeyote usi demand kulipwa fadhira Fanya kama unatoa sadaka kanisani, Mimi baba angu alinifukuza home kipindi nasoma na nilipokua shule nikipata rafiki mchaga akaenda kuwaeleza kwao kua nna matatzo na anaomba nikae kwao,WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Mpige mimba mfululizo uwe unawaangalia wanao, suluhisho ndio hilo tomba zalisha watoto hata 6 hivi kisha usiwe unamuangalia huyo mwanamke waangalie wanaoNahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama
Huna mamlaka nayeWanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Somo lako limeanza kueleweka. Vijama wameamkaLimbwata limeisha nguvu sasa akili imerudi. Bado Azizi Kii
Wanawake mpunguze tamaa kuzaa hovyo hovyo kabla ya ndoa. Mnatesa vinana. MtatumalizaKinachokutesa hapo ni roho mbaya...tafadhali ondoka,usijeua mtoto...yaan ondoka hapo haraka.
Hukujua kuwa singlemom maana yake anamtoto ambaye si damu yako?
Hiyo option ya 1 Nimemwambia afanye hivyo amekataa Mkuu. Option ya 2 ndiyo nafikiria kufanya hivyo aisee..1.Mwambia Mkeo amupeleke huyo mtoto kwa Baba yake,au kwa Bibi yake.
2.Ukishindikana muweke wazi kuwa huwezi kuishi na huyo mtoto,kama hawezi kupelekwa kulelewa pengine basi pianani talaka-nyi e hamjazaliwa tumbo moja kwamba no lazima mzeeke pamoja.
Fanya kitu kinachokupa furaha maishani,maisha ni mafupi sana acha kuishi kwa stress utakufa mapema sana.
Mpende huyo mtoto na umhudumie kama ulivyoazimia. Siku utakapomgusa huyo mtoto asiwe sehemu ya familia yako ndoa yako itakuwa imefikia mwisho.WanaJF