Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
- Thread starter
- #101
Hapana Kiongozi Mimi ni mmoja ya wale watu naopinga unyanyapaaji wa single mother.Pole sana Mkuu.
Walakini maelezo yako begs for more questions.
Alikudanganya?
Unavyoelezea ni kama ulikurupuka tu kamavile hukujua ana mtoto wa mtu mwingine.
Ulikuwa unafikir nn? Kwamba ukimuwowa mtoto angebadilika na kuwa wako wa damu?
Basi kataa ndoa tu na masingle maza yaishe.
Hili linalo nisibu limenikuta tayari tumeisha ingia kwenye ndoa, mwanzo sikia hivyo kabsa.
Lakini pia ni mda Sasa nimejilamizamisha kumpenda huyu mtoto lakini nimeshindwa kabsa. Nafsi yangu imegoma. Naona best way ni kuachana tu moyo ubaki free.