Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...

Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...

Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Ungemalizia huyo single mother ni binadamu alieteleza halafu akaangukia kwake!.
 
Sasa tukusaidie nini 😂 si uondoke ukatafute mwanamke mwingine huyo mwachie amani yake ! Ulimkuta na mwanae hiyo ni damu yake lazima uwapende wote mambo ni mawili umpende yeye na mwanae au uondoke ! Ukatafute mwingine.

Usitie huruma hapa ,kujiliza liza ! Ndo mkitoka hapo mnapata misongo na hasira mnabaka na kulawiti watoto !

Toka uondoke , na ujifunze kuwa unawasikiliza wanaume wenzako.

Tena huyo single maza naomba akujue mapema akupe sumu labda akili zitasogeleana maana umemzidishia emotional demage 😂
Mkuu hichi ni kitu ambacho kimetokea wakati tukiwa tayari tumeisha ingia kwenye ndoa. Kabla ya hapo haya maumivu sikuwa nayo kabsa.

Ni mda Sasa nimejilamizamisha kumpenda huyu mtoto lakini nafsi yangu imegoma kabsa. No way nifanyeje nikumuacha tu
 
Ulishakoseaaa hapo mwambie Mama ampeleke mtoto kwa Baba yake au kama vip kila mtu ashike zake ni maamuzi magumu ila huna point nyingine ya kutokeaaa ukishindwaaa hiyo rohoo mbaya siku itakuzidiii utamfanyia huyo mtoto jambo bayaa.
 
Sawa. Hujui nayopitia.
Pole sana Mkuu.

Walakini maelezo yako begs for more questions.

Alikudanganya?

Unavyoelezea ni kama ulikurupuka tu kamavile hukujua ana mtoto wa mtu mwingine.

Ulikuwa unafikir nn? Kwamba ukimuwowa mtoto angebadilika na kuwa wako wa damu?

Basi kataa ndoa tu na masingle maza yaishe.
 
NIsamehe tu ,ila mimi sikuonei huruma. Pengine hata wazaz na ndugu zako hukutaka kuwasikia kama kweli umefunga mae ndoa.. hakuna ambaye angekuruhusu uoe single mom.humu utaambulia matusi tu
Wazazi wangu walikataa sana hili, ila nikakaidi, saivi imebaki majuto. No way nifanyeje Sasa? mtu tayari yupo ndani!!
 
Miaka 28, ukajitwisha zigo singo mama, umri wa mtoto miaka 6 means mwenzio alizaa wewe ukiwa na miaka 22 probably alianza kuliwa wewe ukiwa na miaka 18😄😄😄😄
Mtoto tu anakutoa kamasi sasa subiri siku utakapoagwa na mkeo kwamba anampeleka mtoto akaonane na Baba Yake na ndugu zake, utakuwa kihoro
Maisha ni mafupi Sana kuishi kwenye maumivu yanayoweza kutatulika, ulishaamua mpende tu huyo mtoto kama unavyompenda mama Yake huna namna,kama unaona kweli imeshindikana kabisa basi kaa nae chini huyo mkeo mweleze ukweli muombe ampeleke mtoto kwa Bibi Yake na kama haiwezekani basi achaneni kabla hamjapata mtoto wa kwenu usije kumfanya binti wa watu single mama kwa mara ya pili.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO
 
Mpe talaka umuache huyo mwanamke, huko mbele utakuja kumuua huyo mtoto, wewe una roho mmbaya.

Wamama acheni kuingia kwenye mahusiano mengine huku ukijua una watoto.

Padre nilimpata baada ya watoto wangu wote kukua.
 
Back
Top Bottom