Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
- Thread starter
-
- #101
Hapana Kiongozi Mimi ni mmoja ya wale watu naopinga unyanyapaaji wa single mother.Pole sana Mkuu.
Walakini maelezo yako begs for more questions.
Alikudanganya?
Unavyoelezea ni kama ulikurupuka tu kamavile hukujua ana mtoto wa mtu mwingine.
Ulikuwa unafikir nn? Kwamba ukimuwowa mtoto angebadilika na kuwa wako wa damu?
Basi kataa ndoa tu na masingle maza yaishe.
Najuta sijui Kwann sikusikia ya wahenga.
TATIZO vijana mnajidai mnayajua sana mapenzi! Kupakata mishangazi.Nafikiria kumuacha huyu mwanamke kwa hapa nilipofika sioni haja kuanzisha familia na huyu mwanamke.
Ndoa imefungwa Kanisani.Mmeoana ndoa kabisa au mnaishi tu?
Punyenga umeacha au bado unapiga?Hapana Kiongozi Mimi ni mmoja ya wale watu naopinga unyanyapaaji wa single mother.
Hili linalo nisibu limenikuta tayari tumeisha ingia kwenye ndoa, mwanzo sikia hivyo kabsa.
Lakini pia ni mda Sasa nimejilamizamisha kumpenda huyu mtoto lakini nimeshindwa kabsa. Nafsi yangu imegoma. Naona best way ni kuachana tu moyo ubaki free.
Ndio uelewe sasa sio kila mtoto atageuka...Siyo wote wako hivyo.
Punyeto bado unapiga na umeoa?Ndoa imefungwa Kanisani.
Tatizo vijana mnadanganyana eti ndoa ni ya watu 2 mkipendana nyie basi msisikilize wengine! Ukiona unataka kuoa na wazazi wako wakatia neno kuhusu hiyo NDOA nakuhakikishia lazima uje upigwe na kitu kizito unless uwe na uhakika kwamba wazazi wako huwa Wana shida.Wazazi wangu walikataa sana hili, ila nikakaidi, saivi imebaki majuto. No way nifanyeje Sasa? mtu tayari yupo ndani!!
Punyeto bado unapiga?Wazazi wangu walikataa sana hili, ila nikakaidi, saivi imebaki majuto. No way nifanyeje Sasa? mtu tayari yupo ndani!!
Inaonekana hakujiandaa kumbeba huyo mtoto ndo maana chuki imeinuka toka kwake, sasa hata kama akimhudumia huyo mtoto sio kwa moyo mkunjufu hata kidogo its like atakuwa na majuto ndani yake.Serious hiyo ni roho mbaya mtoto kafanya nin? Malaika asiyejua A au B amekukosea nin? Hajawah saidia watoto yatima? Watoto wa mtaan je?? Ingekua huyo mwanamke anamawasiliano na mzaz mwenzake bas iyo ni mbaya
OK.Hapana Kiongozi Mimi ni mmoja ya wale watu naopinga unyanyapaaji wa single mother.
Hili linalo nisibu limenikuta tayari tumeisha ingia kwenye ndoa, mwanzo sikia hivyo kabsa.
Lakini pia ni mda Sasa nimejilamizamisha kumpenda huyu mtoto lakini nimeshindwa kabsa. Nafsi yangu imegoma. Naona best way ni kuachana tu moyo ubaki free.
Ndiyo.Punyeto bado unapiga?
Upendo kwa kule Mkojo wa mtu mwingine.....ili hali yuko hai. Ina hustle wakati baba yao pesa anashinda bar na kuhonga wanawake? Utakuwa ni mpumbabu kweli kweliUnaonyesha jinsi Hauna upendo uwezi saidia mtu yeyote wewe
Hicho ni kizazi cha Before 2000.Anafanya kila kitu kwa yule baba wa kambo.
Anamtii na kumheshimu pia kujitoa kwa kila kitu kwa yule mzee japo si babake.
Vijana mnao wa-diss single maza kisa mwanae atakugeuka hua nawashangaa sana.
To yeye umesikia anavyosema mwenzio? Yaan pamoja na kuoa singomaza bado anakwea mnazi kwa mkono mmojaNdiyo.
Hii ni green light ya kuvunja hiyo ndoa1.Mwambia Mkeo amupeleke huyo mtoto kwa Baba yake,au kwa Bibi yake.
2.Ukishindikana muweke wazi kuwa huwezi kuishi na huyo mtoto,kama hawezi kupelekwa kulelewa pengine basi pianani talaka-nyi e hamjazaliwa tumbo moja kwamba no lazima mzeeke pamoja.
Fanya kitu kinachokupa furaha maishani,maisha ni mafupi sana acha kuishi kwa stress utakufa mapema sana.
unajuaje kama hawezi kumpenda ? hivi unajua unacho kiandika mkuu kuhusu kusaidia mtoto mdogo ni jambo jema sana hata kama baba yake hayupo naye na sio kwamba mkewe ampendi hebu acha uchochezi.Hapo huyo mwanamke akili zake ziko kwa mtoto wake hawezi kukupenda unless kuna kitu anakipata hapo kwako.
Tumia akili maisha mfupi sana ,mimi ni mkubwa kuliko wewe ila alishakuja single mother kwa kunitaka mwenyewe ila nilikataa kisa japo kazi yake sio njaa kali .
Kwanza ,ni msumbufu sana unaweza kuwa na miadi ya kazi asije ofisi hata siku tatu ,anakumbia mwanangu alikuwa anaumwa , halafu masaaa 24 anapost mwanawe tu kweny status Whatsapp mpaka nimemute status zake..Just imagine anavyosumbua ,siku nyingine anakuja na mtoto wake ofisi ...Nilimuuliza kuhusu baba wa mtoto akawa mkali sana ...
Ndugu yangu hata uwe na miaka 40 unless una akili timamu usikubali kuoa mwanamke mwenye mtoto ,ni mke wa mtu ,anakufanya wewe ni plan B ...
Hakuna rangi utaacha kuiona siku mkigombana ; ana mtoto wa kumpa faraja ,ana chemist ya asili baba wa mtoto ,huyo mwanamke inawezekana kabla ya kuwa na mtoto angekukataa...Linda heshima na utu wako maisha mafupi sana.
Hawezi kumpenda ng'o ,hakunq kitu kama hicho ...Hakuna mwanamke anaweza kumpenda mume mbele ya mtoto hata siku moja.unajuaje kama hawezi kumpenda ? hivi unajua unacho kiandika mkuu kuhusu kusaidia mtoto mdogo ni jambo jema sana hata kama baba yake hayupo naye na sio kwamba mkewe ampendi hebu acha uchochezi.