Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Mtu Alie Nyikani

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
949
Reaction score
2,038
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
 
1.Mwambia Mkeo amupeleke huyo mtoto kwa Baba yake,au kwa Bibi yake.
2.Ukishindikana muweke wazi kuwa huwezi kuishi na huyo mtoto,kama hawezi kupelekwa kulelewa pengine basi pianani talaka-nyi e hamjazaliwa tumbo moja kwamba no lazima mzeeke pamoja.

Fanya kitu kinachokupa furaha maishani,maisha ni mafupi sana acha kuishi kwa stress utakufa mapema sana.
 
WanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Duuh pole mkuu... Ngoja wenye uzoefu waje, usikute baba yake yupo humu pia anasoma huu uzi😂😂😂
 
Duh, pole sn
 
Sasa tukusaidie nini 😂 si uondoke ukatafute mwanamke mwingine huyo mwachie amani yake ! Ulimkuta na mwanae hiyo ni damu yake lazima uwapende wote mambo ni mawili umpende yeye na mwanae au uondoke ! Ukatafute mwingine.

Usitie huruma hapa ,kujiliza liza ! Ndo mkitoka hapo mnapata misongo na hasira mnabaka na kulawiti watoto !

Toka uondoke , na ujifunze kuwa unawasikiliza wanaume wenzako.

Tena huyo single maza naomba akujue mapema akupe sumu labda akili zitasogeleana maana umemzidishia emotional demage 😂
 
Sasa ushaoa ndio unajuta?
Kama hakutendi lolote baya kwa nini unajuta?
Mtoto ana umri gani?

Umezaa naye huyo single maza? Kama hapana kwa nini? Kama una uwezo wa kuzalisha mzalishe utaona raha ya ndoa.

Au unachojuta ni kuwa hajadaka mimba na yeye ana kithibitisho kuwa kizazi anacho na wewe huna uhakika na kizazi chako?

Hebu fafanuka mkulungwa
 
Back
Top Bottom