Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Kwahyo akiwa sio mwanae ndio kinabadilika kipi

Sa akiwa sio mtoto wake ni vibaya kumsaidia kukua?

Diamond alimsaidia harmonize je Mond alikua baba wa Harmo?

Ronaldo alisaidiwa pasi ya mwisho na rafiki yake ambae alikua na nafasi ya kufunga ili aende sporting cp, je yule rafiki alikua baba wa Ronaldo?

Baloteli kalelewa na wazee wa italia je walikua wazazi wa kumzaa wale?

Hivo ni mifano baadhi kati ya mingi ya watu waliofanikiwa kutokana na watu baki na baba zao wakiwepo.

Sometimes fanya wema tu haijalishi utarudishiwa nini kikubwa ushafanya.
Unachoshindwa kuelewa wewe na wenzako wenye mawazo kama yako ni kwamba...

Unapoanza kuishi na huyo single mother suala la kumpa mahitaji huyo mtoto wake itafika muda litakuwa sio msaada tena bali itakuwa ni wajibu wako kwa kipindi chote utakachokuwa unaishi na huyo mwanamke...

...Na pia kwa sababu ni wajibu wako atakuwa na ile entitlement ya kukulalamikia pale anapoona utimizi wajibu wako kwa usahihi na kasoro yoyote ile itakayojitokeza katika kuwajibika kwako itatafsiri kwamba wewe humpendi mtoto wake, labda nikupe mfano hili uelewe vizuri hii point hapa.

wewe unaweza ukampeleka huyo mtoto wa single mother private school ambayo labda ada kwa mwaka ni 4m, lakini yeye huyo mwanamke akikuangalia kifedha una uwezo wa kumsomesha mwanae hata shule zenye ada ya 10m. Kwa hiyo akilini mwaka atakuwa anajiuliza kwanin umempeleka mtoto wake shule ya school fee ya 4m na wakati una uwezo wa kumpeleka kwenye shule nzuri zaidi ambayo ada yake ni 10m tu?

Kwa hiyo akilini mwaka atahitimisha kuwa wewe humpendi mwanae ndio maana umempeleka kwenye shule ya ada nafuu ya 4m na endapo kama angekuwa ni mtoto wako wa damu basi lazima ungempeleka kwenye hiyo shule ya 10m.

Kwa hiyo licha ya wewe kumsaidia Kusomeshea mtoto wake kwenye shule ya gharama bado hawezi kurudhika na wewe na huo msaada wako hautokuwa na maana kwa sababu tu haujafanya to the maximum level kulingana na kipato chako na hii yote ni kwa sababu wanawake kiasili huwa wana entitlement mentality ukiwafanyia jambo lolote lile kama msaada inafika stage wanaona ni haki yao ya msingi, na ukisitisha wanakuona una roho mbaya.

Naona umetoa mpaka mifano ya akina Daiamond na Harmonize sijui Ronaldo na Rafiki yake, mara Baloteli na wazazi wake walio mu adopt... asiee kijana hii mifano yako yote haina relavance yoyote na hii mada, kwa ufupi tu umetoa mifano mfu isiyofaa kabisa kwenye hii mada.
 
Mpende huyo mtoto, utaziona baraka za Mungu...

Single mama ni binadamu aliyeteleza tu...

Tuache kuhukumu, Mungu anasamehe
Mungu hatoi baraka kwa mtoto aliyepatikana kwa njia ya uzinzi.
Yaani Mungu aanze tabia mpya ya kubariki wazinzi?
 
Bwana angehesabu makosa yetu nani angesimama, ila msamaha upo ili aogopwe, amesema yeye sio mwepesi wa hasira ila ni mwingi wa Rehema, Mungu anasamehe ukiomba Toba na Rehema kwa kumaanisha
 
Kwaiyo unashauri uzinzi uendelee na wanaume waoe wazinzi kwakuwa wakiomba toba ya kumaanisha watasamehewa?
Mwanaume yeyote anayeoa single mama ana changamoto ya afya ya akili.
 
Hayo ni mawazo yako, tatizo unajihesabia Utakatifu, wakati hakuna aliyemkamilifu
 
Simba mbugani tu na akili zake ndogo huwa haanzishi mahusiano na Simba jike mwenye mtoto. Sasa wewe na akili zako kwanini umefanya hivyo?
 
Hayo ni mawazo yako, tatizo unajihesabia Utakatifu, wakati hakuna aliyemkamilifu
Sijajiita mtakatifu,ila nakueleza kuwa single mama hafai kuolewa na ambaye hajamzalisha.
Yeyote anayeoa single mama hana akili.
 
Mlee vizuri tu kwani haya maisha hayana fomula. Huwezijuwa m/Mungu aempangia nini huyo mtoto na katika maisha hakuna guarantee kuwa atakaye kuasidia ni ndugu yako au mtoto wako wa damu,. Ukimlea vizuri naye atakutunza wakati wa uzee wako
 
Sijajiita mtakatifu,ila nakueleza kuwa single mama hafai kuolewa na ambaye hajamzalisha.
Yeyote anayeoa single mama hana akili.
Ni wewe unayeona, ila yupo binti ambaye hajazaa ila ametoa mimba nyingi, acheni kukariri kuwa single mama ni wabaya
 
Aliyetoa mimba 100 ni bora zaidi kuliko aliyezaa mtoto mmoja.
Aliyetoa mimba anakuwa hajaunganisha ukoo na watu wengine.
Nasisitiza single mama hatakiwi kuolewa na mwanaume mwenye akili timamu.Waolewe na wendawazimu.
 
Ungeyasoma maelezo yangu ungepata kitu walau cha kuwafunza wanao wa kike.

My dear mahusiano ni fursa hasa kwa mwanamke, ikiwa wewe unayachukulia kwa namna nyingine tofauti na hiyo basi uko kwenye hasara.

Mahusiano yanampa mwanamke sustainable wellbeing hasa ukimpata mwanaume mwenye thamani(high value man) kwa maana ya mwanaume mwenye hela au strong network ya pesa... sasa kama wewe una date low value men yaani wanaume kajamba nani ambao hawan connection wala pesa, basi una hasara kubwa sana.

Kitu pekee mwanaume anachonufaika nacho kwenye mahusiano ni sex tu labda na mtoto.
No thank you i refuse to live my good life only to be reduced by a simple man math. Defining my whole existence to offering only sex, excuse me God did not waste his precious time of creation so that a woman could offer sex.
 
Unachoshindwa kuelewa wewe na wenzako wenye mawazo kama yako ni kwamba...

Unapoanza kuishi na huyo single mother suala la kumpa mahitaji huyo mtoto wake itafika muda litakuwa sio msaada tena bali itakuwa ni wajibu wako kwa kipindi chote utakachokuwa unaishi na huyo mwanamke...

...Na pia kwa sababu ni wajibu wako atakuwa na ile entitlement ya kukulalamikia pale anapoona utimizi wajibu wako kwa usahihi na kasoro yoyote ile itakayojitokeza katika kuwajibika kwako itatafsiri kwamba wewe humpendi mtoto wake, labda nikupe mfano hili uelewe vizuri hii point hapa.

wewe unaweza ukampeleka huyo mtoto wa single mother private school ambayo labda ada kwa mwaka ni 4m, lakini yeye huyo mwanamke akikuangalia kifedha una uwezo wa kumsomesha mwanae hata shule zenye ada ya 10m. Kwa hiyo akilini mwaka atakuwa anajiuliza kwanin umempeleka mtoto wake shule ya school fee ya 4m na wakati una uwezo wa kumpeleka kwenye shule nzuri zaidi ambayo ada yake ni 10m tu?

Kwa hiyo akilini mwaka atahitimisha kuwa wewe humpendi mwanae ndio maana umempeleka kwenye shule ya ada nafuu ya 4m na endapo kama angekuwa ni mtoto wako wa damu basi lazima ungempeleka kwenye hiyo shule ya 10m.

Kwa hiyo licha ya wewe kumsaidia Kusomeshea mtoto wake kwenye shule ya gharama bado hawezi kurudhika na wewe na huo msaada wako hautokuwa na maana kwa sababu tu haujafanya to the maximum level kulingana na kipato chako na hii yote ni kwa sababu wanawake kiasili huwa wana entitlement mentality ukiwafanyia jambo lolote lile kama msaada inafika stage wanaona ni haki yao ya msingi, na ukisitisha wanakuona una roho mbaya.

Naona umetoa mpaka mifano ya akina Daiamond na Harmonize sijui Ronaldo na Rafiki yake, mara Baloteli na wazazi wake walio mu adopt... asiee kijana hii mifano yako yote haina relavance yoyote na hii mada, kwa ufupi tu umetoa mifano mfu isiyofaa kabisa kwenye hii mada.
Mifano ipo hai sema uelewa wako ndio Mfu.

Mifano Indonesia jinsi gani binadamu anaweza kumsaidia mwingine hata kama hajamzaa.

Mifano yangu inatufundisha kutegemeana

Twende kwenye mfano wako ambao ndio mfu sasa..

Yaani umpleke mtoto shule, harafu mtoto au mamake ajiskie vibaya kisa umempeleka shule mbaya na unao uwezo wa kumpleka shule nzuri

Harafu wewe tena ndio ujisikie vibaya hutaki hata kumuona?

Utakua ni Baba wa familia kweli au Mhungaji wa familia tu.
 
Ungeyasoma maelezo yangu ungepata kitu walau cha kuwafunza wanao wa kike.

My dear mahusiano ni fursa hasa kwa mwanamke, ikiwa wewe unayachukulia kwa namna nyingine tofauti na hiyo basi uko kwenye hasara.

Mahusiano yanampa mwanamke sustainable wellbeing hasa ukimpata mwanaume mwenye thamani(high value man) kwa maana ya mwanaume mwenye hela au strong network ya pesa... sasa kama wewe una date low value men yaani wanaume kajamba nani ambao hawan connection wala pesa, basi una hasara kubwa sana.

Kitu pekee mwanaume anachonufaika nacho kwenye mahusiano ni sex tu labda na mtoto.
Hujielewi
 
WanaJF

Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.

Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.

Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.

Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.

Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.

Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Unamwangalia WA kwakoo??
 
Back
Top Bottom