Najuta kuolewa!

Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
mke wangu nakushauri achana na mashosti fata amri halali za mumeo.
 
khaaaaa huyu tena? yan mnamshauri mtu anaejielewe?endeleeni..hana lolote mzushi tu! ila asante wk inapita vyema!
 
tatizo lenu ni kwamba UNAOLEWA ukiwa upo MGUU MMOJA NJE mwingine NDANI, Bongo movie zinawaharibu sana nyie. We dai tu atakupa kwa urahisi sana naona hata yeye kachoka alikosa sababu ndio maana alikuwa ananuna mda mrefu. Mnahitaji kufundwa lasivyo kadri miaka inavyozidi kwenda mtakuwa mnalia sana, solution yenu mtakuwa mnahitaji kuwa single kitu ambayo mtaishia kuitwa akina DADA HURUMA/MALAYA/MWIZI WA WAUME ZA WATU nk. We jifanye mjanja, nadhani akili yako na mda wako wa kuingia ktk ndoa ulikuwa BADO!!
 
Yaani ni tabu ukichelewa kurudi kidogo tu lawama kibao.

ukisema utembelee shost zako huruhusiwi na maneno kibao.

kibaya zaid mume huyu ni bingwa wa kununa kitu kidogo atanuna siku saba! Loh ! Bora nibaki sinngle mie ..

Nadai taraka yangu
nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…