tatizo lenu ni kwamba UNAOLEWA ukiwa upo MGUU MMOJA NJE mwingine NDANI, Bongo movie zinawaharibu sana nyie. We dai tu atakupa kwa urahisi sana naona hata yeye kachoka alikosa sababu ndio maana alikuwa ananuna mda mrefu. Mnahitaji kufundwa lasivyo kadri miaka inavyozidi kwenda mtakuwa mnalia sana, solution yenu mtakuwa mnahitaji kuwa single kitu ambayo mtaishia kuitwa akina DADA HURUMA/MALAYA/MWIZI WA WAUME ZA WATU nk. We jifanye mjanja, nadhani akili yako na mda wako wa kuingia ktk ndoa ulikuwa BADO!!