Najuta kupangiwa field Mtwara

Najuta kupangiwa field Mtwara

Zumbe Kimweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
340
Reaction score
27
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau
 
Ha ha mkuu umeeleza kwahisia kali sana,but wory not next week mambo yatakuwa sawa kwasababu serekali yenu ni sikivu.
 
Pole sana ndugu na tetesi zinasema bodi imeungua pamoja na cheque za hela
 
Mkuu cheque kuungua sio issue nzito the matter is ,The fund is adequate ?.na kwa uzoefu wangu wa kadhia hii ya fedha cheque ikishazidi 10 million is immovable so huwa tunajaza form ya Tiss(Tanzania Interbank settlement system) and the fund will be moved electronically to the respective payee account ,so kwa hayo mamilioni yenu hata Heslb jengo zima lingeungua lazima mtapewa 2 the problem is not timely accordance,Hata fund kutoka hazina kwenda board na kutoka board kwenda chuoni Tiss wadogo zangu ndo zinatumika so worries out .and kuweni wavumilivu kiduchu 2 mtaenda kufurahi!
 
unalia kupangwa field wakati waliopangwa kazi hawana shida?
 
Waliopangwa kazi kuna kitu wanapata kila mwezi, sasa kwa hawa wa field wanategemea mkopo toka heslb. Labda unamaanisha Nini ktk maandiko yako mkuu?
 
Sasa suala la "LA NAJUTA KUPANGIWA MTWARA" Linakujaje!!, ungepangiwa kwenu ungepewa tayari hizo fedha! au Mtwara haipo ndani ya mipaka ya Tanzania? sijui umetokea chuo gani kinachotoa maadili yasiyoeleweka. Afadhari huko mnakula matunda, huku wezako wanaponea supu ya mifupa wanayo iomba buchani!! any way ukirudi huko pitia hapa RUVU JKT upate ushauri nasaha. nafsi yangu
 
Last edited by a moderator:
wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nala mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku mtwara ndugu zangu wa huko dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jmn wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau

kazana na kula hayo matunda ndo yenye afya ayo dogo...teh teh teh...
 
mlishauriwa toka mwanzo mu apply ARDHI UNIVERSITY chuo kilicho strictly n kinachoheshimika mkaleta pozi na kujishebedua kisa kijiji unachotoka ukiongelea chuo kikuu wanakifaham udsm peke ake...sasa mnakufa njaa na "tai shingoni" ya kuishi hall 2 na 5...izo pesa za field ardhi 2lishapewa since wakati 2nafanya U.E na saizi zishaisha na 2mesahau ka zilitolewa.2naendesha mausha kwa wayz nyingine...sasa utatambua ka udsm ni chuo kikuu or chuo kikubwa
 
Pole sana ndugu na tetesi zinasema bodi imeungua pamoja na cheque za hela

heheheh alshabab utamuua dogo ukiongelea habari ya helsb kuungua na cheque zao....B.T.W mapigano yanaendeleaje uko somalia?
 
MATANGAZO MSIBANI YA NN TUNAJUA MMEPATA KWA KUWA HICHO CHUO WANAFUNZI MNA NJAA SANA NA WAMEOGOPA DADAZETU WASIJE WAKASHINDIA BODABODA NA UCKU CHIPSI TUUU😕
 
kwanza unasoma chuo gani mkuu?...tusije kubishana kumbe unatoka chuo cha madrassa
 
MATANGAZO MSIBANI YA NN TUNAJUA MMEPATA KWA KUWA HICHO CHUO WANAFUNZI MNA NJAA SANA NA WAMEOGOPA DADAZETU WASIJE WAKASHINDIA BODABODA NA UCKU CHIPSI TUUU😕

mwenzako anasema anashindia mapapaoi...wewe unashindia matunda gani zaidi mkuu?
 
MATANGAZO MSIBANI YA NN TUNAJUA MMEPATA KWA KUWA HICHO CHUO WANAFUNZI MNA NJAA SANA NA WAMEOGOPA DADAZETU WASIJE WAKASHINDIA BODABODA NA UCKU CHIPSI TUUU😕

mwenzako mleta mada analalamika kushindia mapapai..wewe unashindia matunda gani zaidi mkuu?
 
wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nala mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku mtwara ndugu zangu wa huko dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jmn wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau

kwa nini hukwenda kufanyia hiyo fild nyumbani kwenu? ama nyie ndio mnaojidai kuzaliwa dar kumbe ni wa swekeni. kama shida ni bumu wale waliopo kwenye shule ya kwenu walishapata, omba barua ya uhamisho kwani inaruhusiwa hata ukiwa fild
 
mlishauriwa toka mwanzo mu apply ARDHI UNIVERSITY chuo kilicho strictly n kinachoheshimika mkaleta pozi na kujishebedua kisa kijiji unachotoka ukiongelea chuo kikuu wanakifaham udsm peke ake...sasa mnakufa njaa na "tai shingoni" ya kuishi hall 2 na 5...izo pesa za field ardhi 2lishapewa since wakati 2nafanya U.E na saizi zishaisha na 2mesahau ka zilitolewa.2naendesha mausha kwa wayz nyingine...sasa utatambua ka udsm ni chuo kikuu or chuo kikubwa

Mawazo yako ni finyu sana we ngwini. Eti wote wangeapply ardhi! Usifikirie kwa kutumia innyo.
 
Sikulaumu wewe namlaumu anayekupa mkopo wakati hata kuandika hujui mpaka leo.
 
Pamoja na kuupata kwa shida huo mkopo, wakati wa kuulipa HELSB kupitia debt collectors wanawinda watu kwa nguvu zote na mikwara kibao utadhani walikuwa watoa mikopo kirahisi...
 
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau

Pamoja na kukuonea huruma, lakini najiuliza ni aina gani ya wanachuo mko vyuoni miaka hii. Yaani kabisa unakwenda field bila kupata hela ya kujikimu? Umekwenda vipi?

hilo ni kosa na hiyo adhabu iongezeke, msipewe hela ili mjifunze. Ndio ninyi mnaokaa na kupongeza tamko la mwenyekiti... na bado inabidi ifike mpaka uanze kutumikishwa huko Ntwara ndio ukirudi utakuwa umeelewa somo.
 
Back
Top Bottom