Zumbe Kimweru
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 340
- 27
Wandugu.. maisha yangu ni magumu baada ya bodi kushindwa kutoa hela kwa wakati.. sasa nakula Mapapai asubuhi ilinijikimu maisha huku Mtwara ndugu zangu wa huko Dar es salaam, pamoja na wanafunzi wenzangu tujiulize hali hii itaenda mpaka lini? jamani wanachuo wenzangu huku tunakula matunda kama ndege usiku na mchana..jamani ifikiwe wakati bodi mtuonee huruma sisi watoto wa wawakulima.. mungu awabariki wadau