Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

Najuta kutembea na wallet! Sitorudia kuweka pesa kwa wallet kamwe!

Kuna hawa wanaojaza wallet mpaka ticket za treni za mwaka jana,
Risiti za ATM kibao kwanini usiweke nyumbani kama unatunza kumbukumbu?
Miaka na miaka wallet imejaa takataka
Unajua ni ukilema huo imagine unakaa kwenye bus au gari lako kila leo na huitoi mfukoni sasa hayo makalio yataacha kufa ganzi
Maana kama sio ganzi wanaitoaje mfukoni bila kuhisi? 😂😂😂
Unakuja kuzeeka unaanza kuchechemea hukii sababu
😀😁 Acha basi
 
Back
Top Bottom