Mjini wanakuja nawapokea mm na michongo mimi ndo nawapa ,na huwa nawa cash out mara kibao tu wacha manenoUnakaa na wana halafu huwatoi hata kidogo,wakati wanajua upo njema,umekosea sana ungewatoa kidogo,wasinge fanya hilo mkuu,jamaa huwa wanaridhika na pesa ndogo sama hata wekundu mmoja tu ungeatosha.
Mateso mie sitaki hata kutumiaSheria ya wallet ukiwa unatembea ndo inatakiwa uweke mfuko wa nyuma ila ukiwa unakaa chini au umepanda gari wallet unatakiwa uweke mfuko wambele wa suluali ukifuata hii hautojuta mimi siwezi kabisa kutembea bila wallet kabisa unawekaje wallet nyuma alafu umekaa huoni unakaa tako moja juu
Huu ujinga Bado ulikuwa nao?Habari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa , niwape hai ,nikawakuta wanawangu wawili kwenye bench, walivyoniona ,salam shangwe kama zote ,
Si nikaa pale mwanangu, kwenye lile bench ,aiser tukapiga story pale wee ,nikasema nisepe, nikaamka kwenda dukani kununua mazaga ya om kufika dukani pale ,kuingiza mkono mfukoni walet haipo,nakahisi pale nilipokuwa nimekaa na wanangu kwenye lile bench itakuwa imendondoka pale nikarudi pale kama umeme kufika pale wanangu hawapo !,
Nimewapigia simu kuwauliza simu zao zote wawili hawapatikani 😪😪😪 niliwatafuta mno baada niliwapata na niliwakuta ,wapo sehemu wanakunywa na shangwa juu !sikutaka hata kusemesha maan hawakuniona pale niliondoka kinyoge sana ila sitokuja kuweka pesa kwa walet never
Ujinga wallet ni heshima kwa mwanaume ukitoa hela local kwenye mifuko unaonekana local sana sasa kadi za NIDA na za Bank unatunza wapMateso mie sitaki hata kutumia
Mimi swala la wallet niHabari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa , niwape hai ,nikawakuta wanawangu wawili kwenye bench, walivyoniona ,salam shangwe kama zote ,
Si nikaa pale mwanangu, kwenye lile bench ,aiser tukapiga story pale wee ,nikasema nisepe, nikaamka kwenda dukani kununua mazaga ya om kufika dukani pale ,kuingiza mkono mfukoni walet haipo,nakahisi pale nilipokuwa nimekaa na wanangu kwenye lile bench itakuwa imendondoka pale nikarudi pale kama umeme kufika pale wanangu hawapo !,
Nimewapigia simu kuwauliza simu zao zote wawili hawapatikani 😪😪😪 niliwatafuta mno baada niliwapata na niliwakuta ,wapo sehemu wanakunywa na shangwa juu !sikutaka hata kusemesha maan hawakuniona pale niliondoka kinyoge sana ila sitokuja kuweka pesa kwa walet never
Miaka ya nyuma nilikua mpenzi mkubwa wa wallet hasa kipindi nipo shule o level na a level ila kiukweli kwa life ya kipindi iko kishule shule wallet ilitokea kunigharimu sana mara wallet imepotea na ilikua ya senti zangu za kudunduliza mara sijui wallet nimeiweka wapi ukizingatia mda huo kuna sehemu natakiwa niende basi kuna mda nikawa napandwa na hasira... ila uo mchezo wa kutembea na wallet nilikuja kuacha nilivoingia chuo na ata baada ya kumaliza chuo.. japo kwa sasa nina wallet lakini sijawai kutembea nayo nimeiweka tu ndani kama kihifadhio cha vitambulisho vyangu, kadi zangu za benki na baadhi ya risitiHabari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi nikatia kwa walet mfuko wa suruali ya jeans tena wa nyuma nikasema nipite kwa wana pale ,kijiwe nongwa , niwape hai ,nikawakuta wanawangu wawili kwenye bench, walivyoniona ,salam shangwe kama zote ,
Si nikaa pale mwanangu, kwenye lile bench ,aiser tukapiga story pale wee ,nikasema nisepe, nikaamka kwenda dukani kununua mazaga ya om kufika dukani pale ,kuingiza mkono mfukoni walet haipo,nakahisi pale nilipokuwa nimekaa na wanangu kwenye lile bench itakuwa imendondoka pale nikarudi pale kama umeme kufika pale wanangu hawapo !,
Nimewapigia simu kuwauliza simu zao zote wawili hawapatikani 😪😪😪 niliwatafuta mno baada niliwapata na niliwakuta ,wapo sehemu wanakunywa na shangwa juu !sikutaka hata kusemesha maan hawakuniona pale niliondoka kinyoge sana ila sitokuja kuweka pesa kwa walet never
Mie nimeokoka now sitaki WaletiMimi swala la wallet ni
Miaka ya nyuma nilikua mpenzi mkubwa wa wallet hasa kipindi nipo shule o level na a level ila kiukweli kwa life ya kipindi iko kishule shule wallet ilitokea kunigharimu sana mara wallet imepotea na ilikua ya senti zangu za kudunduliza mara sijui wallet nimeiweka wapi ukizingatia mda huo kuna sehemu natakiwa niende basi kuna mda nikawa napandwa na hasira... ila uo mchezo wa kutembea na wallet nilikuja kuacha nilivoingia chuo na ata baada ya kumaliza chuo.. japo kwa sasa nina wallet lakini sijawai kutembea nayo nimeiweka tu ndani kama kihifadhio cha vitambulisho vyangu, kadi zangu za benki na baadhi ya risiti