Najuta kutotembea na mke wa rafiki yangu


Mmmh! Kama kulala na mke wa mtu ni "opportunity" hapo kazi ipo! Suppose mtu akapata "opportunity" ya kulala na mkeo kwa kuwa mkeo "kamzimia jamaa" utaona sawa tu au "opportunity" ni kwa wake za wengine tu?
 
Hongera sana kwamsimamo wako,huwezi jua huyo mwanamke ana maradhi gani na pia heshima yako ingeshuka kiasi gani,bora nusu shari kuliko shari kamili...
 
Kuwa na msimamo brother, huna sababu ya kujuta, ungekula ungenogewa na ingekuwa balaa zaidi. Heri nusu shari kuliko shari kamili, walisema waswahili.
 

furahia kwa kutomkashifu Mwenyezi Mungu na kuzini na huyo mke wa rafiki yako Muumba kamwe hatakaa kimya atakuenzi jinsi ulivyomuenzi.......
 
Kiritimba isikuumize hiyo issue hebu omba kalikizo kadogo halafu jamaa atapunguza kukufikiria wewe na kuelekeza mawazo yake kwa mkewe na hatimaye kama yupo makini anaweza kugundua mahusiano na huyo jamaa au kupata picha fulani ambayo ukirudi itakuwa imekusaidia.
 
kuna firm moja iliwahikufasababu hii hii.
Kama ni kampuni sion haja ya kujitoa hasa kama inalipa lakini kama ni partnership bora kujitoa maana hutakiwa kuwa na trust sana btn partners. Sasa kama trust imepotea sifa ya partnership inapotea.
 
Tena kweli, unajua huwa kuna reference kesi moja ya aina hii kwenye sheria kuhusu masuala ya partnership.
Au kaitoa hiyo.

naona thread za uongo ni nyingi sana humu.....
 

Pole lakini sidhani kama kweli umejifunza kitu broda!
 
huyo mwanamke atakuwa na sababu yake-kwani si rahsi kung'ang'ana na watu 3 wote
 
Maamuzi uliyoyafanya ya kumheshimu mke wa rafikiyo ni sahihi kabisa. Yaliyojili ni majaribu tu ya shetani. Kama kuna uwezekano wa kujitoa kwenye kampuni bila kuathirika kiuchumi, please do.
Na tena usijaribu hata siku moja kumtaka huyo mke wa rafiki yako, watakutega na kukufanyia mambo mabaya.
Tafakari ...
 
Khaaa !We bw*g* kwel uliacha kipindi cha mwanzo eti unataka sasa !?€ we unafikiri kwa sasa atakubali wakati kapata mwingine !
 
For the sake of company unaweza kujitoa...km ipo ipo tu,time will tell,jamaa atakuja kujua ulikua mwema kwake na eventually unaweza kurudi kwa kishindo na heshima zaidi
 
isije ikawa mkeo kamsimulia umahili udereva wako naye anataka aonje tamu ya asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…