Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

Wakati upi huo 😅??? Wakati ni sasa na vijana wachache ndio wana maisha!
 
Ushauri mzuri kwa huyu binti, jali mtoto wako soma. Wanaume watakuja utachagua mwenyewe ukiwa na uwezo wako.
 
Kwenye mada kama hizi ndio pahala pazuri pa kujua iwapo jf kuna wabeijing.Maana kwenye mada kama hizi huwa wanachomoza kwa wingi kama uyoga kipindi cha mvua
😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Soma wewe, acha kuendekeza mapenzi.Just move on darling.Unavyomlilia ndo unazidi kumpa bichwa la kukutesa.

Wewe mpotezee, soma kwa bidii kwa ajili yako na mwanao ili badae upate mafanikio, atajirudi mwenyewe.By the way wewe siyo single mother wa kwanza wala huwezi kuwa wa mwisho kutelekezwa.

Hawa mbuzi achana nao.
 
Binti soma usiwaze ya Leo yanayokutokea na wala yasikutoe kwenye malengo yako mazuri,baadae utafanikiwa hakuna ajuae yajayo kwa mtu no Mungu tu so usilipeteze kusudio la Mungu kwako kwani taabu upitiazo ni kwa ajili ya watu wengine uje kuwa mwalimu wao utakapokuwa umekwishafanikiwa
 
 
Duuh I
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…