Wewe embu acha hizo, soma nakuambia soma nakuambia soma endelea na degree yako, na ukimaliza degree specialise kwenye fani yako kuwa proffessional
Hakikisha una life time qualification, hakikisha jina lako linaanza na tittle kama vile "wakili msomi
Ma BOBO " au "engineer
Ma BOBO " .
Achana na huyo mburukenge kwa sasa, hasira hamishia kwenye kutengeneza maisha yako.
Dogo tengeneza career yako itakulinda na kukusaidia.
Kwa sasa huyo mburukenge msahau kabisa muhimu ahudumie mwanae tu, wakati wako ukifika utapata bonge la bwana na utafurahia mapenzi na maisha kwa ujumla.