Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaggh kumbe ana matukio yake??!Si ndio wewe uliyekuwa unasimulia kule kwa rikiboy ulivyokuwa unamtega ticha wenu darasani hadi akukula!? Leo unakuja kujitilisha huruma huku kwa wananzengo wasioujua ushenzi wako?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yeye kila Uzi anaushuhuda maalumMwanamke muongo wewe
Anatafuta attention basi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yeye kila Uzi anaushuhuda maalum
Neno la wikiWewe embu acha hizo, soma nakuambia soma nakuambia soma endelea na degree yako, na ukimaliza degree specialise kwenye fani yako kuwa proffessional
Hakikisha una life time qualification, hakikisha jina lako linaanza na tittle kama vile "wakili msomi Ma BOBO " au "engineer Ma BOBO " .
Achana na huyo mburukenge kwa sasa, hasira hamishia kwenye kutengeneza maisha yako.
Dogo tengeneza career yako itakulinda na kukusaidia.
Kwa sasa huyo mburukenge msahau kabisa muhimu ahudumie mwanae tu, wakati wako ukifika utapata bonge la bwana na utafurahia mapenzi na maisha kwa ujumla.
Endelea kuteseka mkuu...Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo
Kosa kubwa sio yeye.. Ni wewe kukubali kuzini kabla ya ndoa. Unatumia muda mwingi kulaumu badala ya kupiga goti na kutubu. Unamtaja taja sana Mungu wakati huoneshi majuto yeyote ya kosa lako. Mbele ya Mungu huwa hakuna dhambi uliyotenda kwa sababu ya mwingine. Melendez ya Mungu ni kutibu wewe peke yako kwa majuto kuwa Mungu nilikukosea kwa kutozitii amri na maagizo yako.. Mpaka nikajikuta nimeangukia huku utumwani niliko kwa sababu ya dhambi zangu.Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, nilivyoona ndugu zake wanaongea ongea juu ya elimu yangu kuwa ni ndogo siendani na mtoto wao nikawaza
Dada yetu mtu mzima huyo ana exposure na mambo mengiMwanamke muongo wewe
Uzi closedChukua muda wa kuzipumzisha hisia
Usikimbilie kuanzisha mahusiano mapya baada ya kuumizwa na mtu uliyempenda sana uliyemwamini sana, uliyemsaidia sana na uliyemvumilia sana na bila huruma akaamua kuondoka ama kukuumiza wakati ulipokuwa unamhitaji sana Mapenzi yanaumiza mapenzi yanatesa lakini ni muhimu kuangalia ulikotoka...www.jamiiforums.com
Nyie wote malaya na washenzi vuneni mlichopanda tena wewe dada ndio una hasara ushakuwa single motherMa BOBO umetisha,[emoji1787]View attachment 1934605