Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Pole

Huyo ndo chaguo lako

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kumtawala mwanamke unatakiwa uwe na pesa ya kuweza kumwambia ondoka kwangu, au Rudi kwangu....la sivyo u fail. Always mwanamke ni mbinafsi sana
Umeongea wazi kabisa 🤣 nadhani hio nguvu imefanya kazi tangu enzi za mabibi na mababu zetu na ndio maana mwanamke alinyimwa fursa za kukua kiuchumi sababu walijua akishakuwa na uwezo anakuwa jeuri na kiburi.
 
Hahahahahah pole yake, mi kingeumana tu. Ujasusi tu ungetumia kumchomoa huyo malaya kimya kimya. Aende akafanye kiburi kaburini huko. Watoto nitawalea tu
 
Mwanamke mwanajeshi pngwe mwanaume anaendesha bajaji, mwanaume islam, Yule dada anakula kitimoto, anapika pale pale, Kaka zangu tafuteni pesaaa, natamani niongee nao Ila nitaonekana naingilia Mambo yao, na wafatilia yaaani.
Huyo jamaa alikuwa na guts gani za ku deal na huyo mwanamke mwanajeshi? Hivi unajua wanawake mapolisi na hao ma afande wana roho ngumu kiasi gani hadi kufikia kupewa hizo nafasi? 🤣 🤣 🤣

Jamaa ni mpuuzi sana wala simuhurumii, of all the women ukachague kuwa na mwanajeshi kweli?
 
Haya mambo uliyaandika ndiyo yanafanya ndoa za siku hizi kuwa ngumu sana.
Wazee wa zamani, mwanamke akizingua anaondoka na mabegi yake anawaacha watoto ila siku hizi wanaume kama mabinti.
Siwezi kuondoka nikaacha mali nianze upya.
Mwanamke mwenye hekima ndio anaweza akakuachia mjengo na watoto akalala mbele ila hawa wanawake ma feminist na njaa kali ni lazima akukomeshe. Yani kitendo cha kuchoka mahusiano kinageuzwa vita sasa ni kupambana kila kona ili akukomeshe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…