Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Bora umeacha kupambana na walimu,
Njoo tukufanyie plastic surgery uwe mchuchu
 
Tangu Adamu aipokiuka maelekezo ya Mungu na kukubali kuonja Apple alilopewa na Eva pale Bustanini - Mungu alitupa adhabu wanaume wote na vizazi vyetu kuwa tutakula kwa jasho.

Hivyo haya mateso tunayoyapitia yalisababishwa na mtu mmoja tu, kwa sasa acha tutumikie adhabu bila kupenda.

Wala usitamani kuwa Ke, Nao wanawake wanapitia changamoto zao;
  • Kuzaa kwa uchungu,
  • Kuingia kwenye siku kila mwezi,
  • Wanakosa uhuru wa kutongoza wanaume,
  • Wakifikisha miaka 30 bila kuolewa wanakuwa na sonona na visirani vya kukosa mume
  • Mwanamke hata awe na Elimu gani, Yeye ndio atakaetolewa Mahari na kuchumbiwa. Atakuwa chini ya mwanaume, anaweza kukatazwa asifanye jambo fulani na mumewe.
  • Kwenye mdinyo ndio kabisa atageuzwa geuzwa kama samaki, kama mtoa mada nawe unatamani na kuwaonea wivu kwenye vile vilio na migugumio yao ya kunogewa, Duh!
  • Miili yao ni tofauti na wanaume, asipokuwa msafi wa mwili unaweza kukutana na smell kali utazani panya amefia ndani huko.
  • Mwanamke akitoka kazini, bado ataingia jikoni kukuandalia chakula, ataosha vyombo, atafua nguo etc. Lakini wanaume haya majukumu hatuyawezi kuyafanya
Kuwa mwanamke shughuli yake sio ndogo.
 
Mwanaume aliye kamilika kwa 100% anaanzaje kuwaza mawazo ya aina hii!! Kati ya siku uliwahi kuzingua, leo umevunja rekodi.
 
Kwa mwanamke kupakata sawa ila nimesikitika sana kuona ati mpwayungu village anatamani kuwa jike dah.

Au labda kuna mtu kaiba simu yake anataka amchafue.
Unaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..

Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..

It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.

So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…