Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Mtoto wa kike ndo shughuli mzee, wa kiume unawaza nini sasa mkuu
 
mpwayungu village anataka na utamu
 
Kupata hedhi[emoji777]
Kubeba mimba miezi 9[emoji777]
Kuzaa kwa uchungu[emoji777]
Kuvaa pedi[emoji777]
Kuviziwa na wanaume[emoji777]
Hatari ya kubakwa[emoji777]
Kuwa na matiti[emoji777]
Kuwa na matako makubwa[emoji777]
Kuinamishwa kwenye sex[emoji777]
Kuliwa kwa chips na kuku[emoji777]
Kubambiwa disco[emoji777]
Siwezi kuamini kuna mwanaume anatamani kuwa mwanamke [emoji38][emoji38]
 
Hahahahha point yako kwamba, Ulitaka mtelezooo kupitia Kitobo 🀣🀣

Hivo wanayopitia Wanawake unayajua ??

Shulen aliwe na Kajamaa ili kamfundishe.

Mwalimu amle ili amfaulishe.

Boda amle ili ambebe Bure.

Wauza Duka za nguo vipodozi

Kazin atoe K ili aajiriwe


Eehh hahahahahah Mkuuu inataman utumia K ili uwe na mtelezo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kua na matiti

Matako makubwa ... Akipita tunamtaman, tinamtomgoza, tunamlaa huku tunayashikashika 🀣🀣🀣
 
Huyu mpwayungu village ametaja kabisa sababu ya kutamani kuwa mwanamke ni maisha magumu e.g aliposema alishindwa kumhudumia mwanamke kwa elfu saba ya kubarua.

Nashangaa amegeuza kauli ati anatamani tu kuwa mwanamke wakati sababu ameitaja.

Mwambieni maisha kwa mwanaume hayajawahi kuwa rahisi hata siku moja.
 
Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini

Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ni sawa na ule msemo "Tajiri hawezi kukwambia siri ya utajiri wake" .

Ukiondoa kuzaa wanawake kinachowatesa ni stress mnazozitengeneza wenyewe mfano

1. Mnakimbizana na umri
2. NYODOZZZZZZZ

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hujanielewa pia.
Ninachomaanisha ni kwamba kuwa mwanamke sio solution, imagine kuchukulia kuwa mwanamke iwe ndio solution ya changamoto zako kwa upande mmoja lakini je, umefikiria upande wa pili wa kuwa mwanamke ukoje?
Nilikuwa najaribu kumuonesha upande wa pili wa hicho anachokitamani ulivyo mgumu. Unapunguza tatizo moja, unaongeza matatizo kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…