TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
[emoji16][emoji16][emoji2960]Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji2960]Mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa ila unapendelea zaidi Watoto wepi? Hata kama hutosema ila hata kwenye Msaada wa kimaisha Ukiwa Mzee Watoto wa kike Wana ufadhili kuliko wa kiume.Kwangu mtoto ni mtoto tu
Noma sana!Kumbe kelele zote wewe ni choko unapigwa paipu ,walimu muhurumieni huyu
USSR
Mtoto wa kike ndo shughuli mzee, wa kiume unawaza nini sasa mkuuUnaleta mchezo na Ugumu wa Maisha wewe..
Thailand inaongoza Kwa Wanaume kijibadili na kuwa wanawake fake ukiwauliza wanasema wanakimbia Ugumu wa Maisha..
It is not easy to be a man,Kuna Jamaa Huwa wanasafiri km 100 plus Kwa baiskeli wanasukuma mkaa usiku kucha ,Huwa nikiwakuta nasikitika ila ndio wanaume hawana jinsi..huo ni mfano mmja tuu Kati ya mifano Mingi ya shuruba za mwanaume.
So nikipata mtoto wa kiume Huwa nawaza sana.
Noma sana!Mwanaume ana gametes X,Y
Hivyo ndani ya mwanaume kuna Mwanamke.
Ila ndani ya Mwanamke hakuna mwanaume.
Sema nini, unajua kucheza na Akili za Watu humu Ndani. Unachohitaji ni attention na mapovu ya Watu.[emoji23][emoji23]
mpwayungu village anataka na utamuTangu Adamu aipokiuka maelekezo ya Mungu na kukubali kuonja Apple alilopewa na Eva pale Bustanini - Mungu alitupa adhabu wanaume wote na vizazi vyetu kuwa tutakula kwa jasho.
Hivyo haya mateso tunayoyapitia yalisababishwa na mtu mmoja tu, kwa sasa acha tutumikie adhabu bila kupenda.
Wala usitamani kuwa Ke, Nao wanawake wanapitia changamoto zao;
Kuwa mwanamke shughuli yake sio ndogo.
- Kuzaa kwa uchungu,
- Kuingia kwenye siku kila mwezi,
- Wanakosa uhuru wa kutongoza wanaume,
- Wakifikisha miaka 30 bila kuolewa wanakuwa na sonona na visirani vya kukosa mume
- Miili yao ni tofauti na wanaume, asipokuwa msafi wa mwili unaweza kukutana na smell kali utazani panya amefia ndani huko.
- Mwanamke akitoka kazini, bado ataingia jikoni kukuandalia chakula, ataosha vyombo, atafua nguo etc. Lakini wanaume haya majukumu hatuyawezi kuyafanya
Hatima ya mtoto wa kiume hujui ni ngumu kuliko wa kike?Mtoto wa kike ndo shughuli mzee, wa kiume unawaza nini sasa mkuu
Subiri nikuletee picha za wanaume wenzio waliotamani kupelekewa moto wakaona wabadili jinsiaNot possible guy, you will only change external structure but you can't be biologically woman, there is no way out for womenization
Noma sana!Everything have a price to pay, hakuna kitu mtelezo tu mkuu ,ukiona mtelezo jua kuna mtego mbele , jikubali ulivyo master.
Kua na matitiKupata hedhi[emoji777]
Kubeba mimba miezi 9[emoji777]
Kuzaa kwa uchungu[emoji777]
Kuvaa pedi[emoji777]
Kuviziwa na wanaume[emoji777]
Hatari ya kubakwa[emoji777]
Kuwa na matiti[emoji777]
Kuwa na matako makubwa[emoji777]
Kuinamishwa kwenye sex[emoji777]
Kuliwa kwa chips na kuku[emoji777]
Kubambiwa disco[emoji777]
Siwezi kuamini kuna mwanaume anatamani kuwa mwanamke [emoji38][emoji38]
Kupata hedhi[emoji777]
Kubeba mimba miezi 9[emoji777]
Kuzaa kwa uchungu[emoji777]
Kuvaa pedi[emoji777]
Kuviziwa na wanaume[emoji777]
Hatari ya kubakwa[emoji777]
Kuwa na matiti[emoji777]
Kuwa na matako makubwa[emoji777]
Kuinamishwa kwenye sex[emoji777]
Kuliwa kwa chips na kuku[emoji777]
Kubambiwa disco[emoji777]
Siwezi kuamini kuna mwanaume anatamani kuwa mwanamke [emoji38][emoji38]
😂😂😂 hii ni sawa na ule msemo "Tajiri hawezi kukwambia siri ya utajiri wake" .Nani alikwambia uwanawake rahisi??
Sisi wenyewe tunaonaga heri tungekua wanaume
Kuwa mwanamke ni kugumu hamna mfano siku uje mkoleni tukufunde utajua uanawake ni nini
Anyway: Achana na habari za kuwa mwanamke Bro utaolewa Shauri yako.
Hujanielewa pia.Huyu mpwayungu village ametaja kabisa sababu ya kutamani kuwa mwanamke ni maisha magumu e.g aliposema alishindwa kumhudumia mwanamke kwa elfu saba ya kubarua.
Nashangaa amegeuza kauli ati anatamani tu kuwa mwanamke wakati sababu ameitaja.
Mwambieni maisha kwa mwanaume unataka wa ni kuwa rahisi hata siku moja.