Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

Hujakutana na transgender bado ndiyi utajua kuna watu wanafikia kabisa kujipa faraja kwa kubadili jinsia mwishowa simu stress zinakuwa nyingi wanajiua
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamsubiri mpwayungu uje umkunje kwenye kile kisofa kidogo, kumbe mda huo anamalizia umbea VICOBA maamae!
Kala clutch kama la undertaker[emoji1787]
 
Niliwahi kuwasikia Wanawake wawili tofauti wakisema LAITI NINGEKUA MWANAUME BASI WANAWAKE WANGEKOMA WANAUME WANAFAIDI SANA nikabaki kucheka tu
All the tym hua wanatamani hivyo sasa unashangaa jitu kama hilo linataka kwenda kuukalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…